[go: nahoru, domu]

YouTube Music ya Chromebook

Ina matangazo
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Mwongozo wa wazazi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Huduma ya YouTube Music unayopendekezewa kwenye Chromebook.

Uwezo wa kufikia orodha pana ya muziki:
● Zaidi ya nyimbo rasmi milioni 70
● Maonyesho ya moja kwa moja, matoleo mengine ya wimbo (ulioimbwa na mtu mwingine), miseto na maudhui ya muziki ambayo huwezi kupata kwingine
● Maelfu ya orodha za kucheza zilizoratibiwa za aina na shughuli mbalimbali

Weka mapendeleo kwenye hali ya muziki, kwa ajili yako:
● Miseto na orodha za kucheza zinazokufaa, zilizobuniwa kutokana na aina za muziki unazopenda
● Miseto inayokufaa katika shughuli za Mazoezi ya Mwili, Kupumzika na Kutafakari
● Tunga orodha za kucheza zenye mapendekezo ya nyimbo au kushirikiana na mashabiki wengine wa muziki ili kutunga orodha bora ya kucheza
● Maktaba Iliyowekewa Mapendeleo ili uone orodha za kucheza, wasanii, albamu na nyimbo zote ulizopenda na ulizoongeza

Gundua muziki mpya:
● Angalia miseto iliyoratibiwa kwa ajili yako kama vile Discover Mix na New Release Mix
● Gundua muziki kulingana na aina (Hip Hop, Pop, Country, Dance na Electronic, Blues, Indie na Alternative, Jazz, Kpop, Latin, Rock na zaidi)
● Gundua muziki kulingana na hali (Tulivu, Kuongoa, Kuchangamsha, Kulala, Kutafakari, Mahaba, Mazoezi ya Mwili, Safari, Hafla)
● Gundua chati maarufu kutoka kote duniani
Ilisasishwa tarehe
29 Ago 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine8
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Mapya

Badilisha ratiba yako ukitumia Discover Mix mpya, hii ni orodha ya kucheza inayokufaa iliyo na nyimbo utakazopenda kulingana na maudhui unayosikiliza zaidi. Huwekwa nyimbo mpya kila Jumatano, kwa hivyo utagundua zaidi.