[go: nahoru, domu]

YouTube Create

1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Mwongozo wa wazazi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Boresha video zako ukitumia YouTube Create, programu rasmi ya kuhariri kutoka YouTube. Weka madoido, muziki usio na mirabaha, masimulizi, manukuu ya kiotomatiki na zaidi ili utayarishe video bora kwa urahisi itakayovutia hadhira yako, yote haya huhitaji kuwa na zana zenye madoido za kuhariri.

Zana Rahisi za Kuhariri Video
• Unganisha pamoja kwa urahisi video, picha na sauti
• Kata, tayarisha klipu na upunguze klipu za video
• Chagua kwenye madoido zaidi ya 40 ili uchanganye klipu zako kwa urahisi
• Ongeza au upunguze kasi ya video yako

Vipengele Bora vya Kuhariri Video
• Weka manukuu kiotomatiki kwenye video zako kwa kugusa mara moja tu (inapatikana katika lugha mahususi)
• Ondoa kwa urahisi kelele za mazingira zinazosumbua ukitumia zana ya kusafisha sauti
• Ondoa madharinyuma ya video yako ukitumia madoido ya kuondoa

Muziki na Sauti
• Boresha video yako ukitumia maelfu ya madoido na nyimbo za muziki zisizo na mirabaha
• Pata mdundo wa wimbo wako na usawazishe kwa urahisi klipu za video yako ili ulinganishe muziki na mdundo
• Simulia video zako kwa kurekodi masimulizi moja kwa moja katika programu

Vichujio na Madoido
• Boresha rangi kwa kurekebisha ukolezaji, mwangaza na zaidi
• Weka hali ya mwonekano wa picha ukitumia vichujio maalum
• Chagua kutoka katika madoido mbalimbali ili video zako zivutie

Vibandiko na Fonti
• Weka mguso wako wa ubunifu ukitumia mamia ya fonti na madoido ya maandishi yaliyohuishwa
• Chagua kutoka maktaba ya vibandiko, GIF na emoji ili kulingana na muundo wako

Imetayarishwa ili Kushiriki
• Badilisha ukubwa wa video zako ziwe na uwiano tofauti, ikiwa ni pamoja na mkao wima, mlalo na mraba ili iweze kushirikiwa katika miundo tofauti
• Pakia video yako kwa urahisi moja kwa moja kwenye kituo chako cha YouTube na ushiriki ubunifu wako na hadhira yako
Ilisasishwa tarehe
29 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Shughuli za programu na Utendaji na maelezo ya programu
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Mapya

YouTube Create kwa sasa iko katika toleo la beta na inapatikana kwenye simu zinazotumia Android 8.0 au matoleo mapya zaidi yenye angalau RAM ya GB 4. Tutaendelea kuweka vipengele vipya na kuboresha YouTube Create kadiri muda unavyosonga.