[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Mto Ruvyironza (Ruvuvu)

Majiranukta: 3°55′00″S 29°50′00″E / 3.9167°S 29.8333°E / -3.9167; 29.8333
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Mto Ruvyironza katika ramani.

Mto Ruvyironza una mwendo wa km 110 na ni tawimto la mto Ruvuvu ambao tena ni tawimto la Mto Kagera[1].

Kwa kuwa mto huo unaishia nchini Tanzania katika Ziwa Viktoria ambalo linatokwa na mto Naili, baadhi ya wataalamu wanahesabu urefu wa Naili kuanzia chanzo cha mto Ruvyironza nchini Burundi[2][3].

Jina linatokana na Mlima Luvironza, mkubwa kuliko yote ya Burundi, ambapo mto una chanzo chake. Mlima Luvironza una kimo cha mita 2,700 juu ya UB na uko kilomita 45 upande wa mashariki wa Ziwa Tanganyika.

Tazama pia

Tanbihi

  1. "NILE". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-25. Iliwekwa mnamo 2009-10-25.
  2. Africa Longest River | Egypt Nile River | World Longest River | Nile White | Ancient Capital Nile
  3. "Encarta online encyclopedia". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-13. Iliwekwa mnamo 2021-01-17. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)

3°55′00″S 29°50′00″E / 3.9167°S 29.8333°E / -3.9167; 29.8333

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ruvyironza (Ruvuvu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.