[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Mji Haramu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lt:Uždraustasis miestas
 
(marekebisho 22 ya kati na watumizi wengine 16 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Beijing-forbidden7.jpg|thumb|250px|Dari za mji haramu]]
[[Picha:Beijing-forbidden7.jpg|thumb|250px|Dari za mji haramu]]
[[Image:Mji Haramu wa Beijing.jpg|thumb|250px|Uchoraji wa eneo la mji haramu]]
[[Picha:Mji Haramu wa Beijing.jpg|thumb|250px|Uchoraji wa eneo la mji haramu]]
'''Mji Haramu''' ni mtaa ndani ya mji wa [[Beijing]] ([[China]]) ni eneo la nyumba za ma[[kaisari]] wa China. Familia za kifalme za [[Ming (nasaba)|Ming]] na Qing ziliishi humo hadi mapinduzi ya [[1911]].
'''Mji Haramu''' ni mtaa ndani ya mji wa [[Beijing]] ([[China]]) ni eneo la nyumba za ma[[kaisari]] wa China. Familia za kifalme za [[Ming (nasaba)|Ming]] na Qing ziliishi humo hadi mapinduzi ya [[1911]].


Mstari 8: Mstari 8:


Mji Haramu umeandikishwa katika orodha la [[UNESCO]] la [[Urithi wa Dunia]].
Mji Haramu umeandikishwa katika orodha la [[UNESCO]] la [[Urithi wa Dunia]].



==Picha za Mji Haramu wa Beijing==
==Picha za Mji Haramu wa Beijing==
Mstari 18: Mstari 17:
Image:Forbidden city 05.jpg|Majengo ya makumbusho wa jumba la Kaisari
Image:Forbidden city 05.jpg|Majengo ya makumbusho wa jumba la Kaisari
Image:Ceiling of building in Imperial garden - Forbidden City.jpg|Dari ya jengo la bustani ya mji haramu
Image:Ceiling of building in Imperial garden - Forbidden City.jpg|Dari ya jengo la bustani ya mji haramu
Image:Ukuta wa majoka tisa Beijing.jpg|Majoka wa kifalme
Picha:Neun-Drachen-Mauer.jpg|Majoka wa kifalme
Image:Palace Museum 6.jpg|Kiti cha Kaisari
Image:Forbidden City August 2012 28.JPG|Kiti cha Kaisari
</gallery>
</gallery>


[[Jamii:Beijing]]

[[Jamii:Historia ya China]]
[[Category:Beijing]]
[[Category:Historia ya China]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]
[[Category:Urithi wa Dunia]]

[[ar:المدينة المحرمة]]
[[bg:Забраненият град]]
[[bs:Zabranjeni grad]]
[[ca:Ciutat Prohibida]]
[[cs:Zakázané město]]
[[da:Den Forbudte By]]
[[de:Verbotene Stadt]]
[[el:Απαγορευμένη Πόλη]]
[[en:Forbidden City]]
[[eo:Malpermesita Urbo]]
[[es:Ciudad Prohibida]]
[[et:Keelatud linn]]
[[eu:Hiri Debekatua]]
[[fa:شهر ممنوعه]]
[[fi:Kielletty kaupunki]]
[[fr:Cité interdite]]
[[gan:紫禁城]]
[[he:העיר האסורה]]
[[hr:Zabranjeni grad]]
[[hu:Tiltott Város]]
[[id:Kota Terlarang]]
[[is:Forboðna borgin]]
[[it:Città proibita]]
[[ja:紫禁城]]
[[ka:აკრძალული ქალაქი]]
[[ko:자금성]]
[[ku:Bajarê Qedexe]]
[[lt:Uždraustasis miestas]]
[[mk:Забранетиот град]]
[[ms:Kota Larangan]]
[[nl:Verboden Stad]]
[[no:Den forbudte by]]
[[nrm:Ville enterdite]]
[[pl:Zakazane Miasto]]
[[pt:Cidade Proibida]]
[[ro:Palatul Imperial Chinezesc]]
[[ru:Запретный город]]
[[sco:Forbidden Ceety]]
[[sh:Zabranjeni grad]]
[[simple:Forbidden City]]
[[sk:Zakázané mesto]]
[[sl:Prepovedano mesto]]
[[sr:Забрањени град]]
[[sv:Förbjudna staden]]
[[th:พระราชวังต้องห้าม]]
[[tr:Yasak Şehir]]
[[vi:Cố Cung]]
[[wuu:故宫]]
[[zh:故宫]]
[[zh-yue:紫禁城]]

Toleo la sasa la 10:35, 9 Februari 2016

Dari za mji haramu
Uchoraji wa eneo la mji haramu

Mji Haramu ni mtaa ndani ya mji wa Beijing (China) ni eneo la nyumba za makaisari wa China. Familia za kifalme za Ming na Qing ziliishi humo hadi mapinduzi ya 1911.

Watu raia walikataliwa kuingia kabla ya mapinduzi ya China hivyo jina la "mji haramu" lilipatikana. Nje ya ukuta wa mji haramu uko uwanja wa Tiananmen.

Eneo lake ni 720,000 kuna majengo 800 yenye vyumba 8,886.

Mji Haramu umeandikishwa katika orodha la UNESCO la Urithi wa Dunia.

Picha za Mji Haramu wa Beijing

[hariri | hariri chanzo]