[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Aishi Manula : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Muundo wa lugha na alama za uakifishi
Tags: KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
 
(marekebisho 20 ya kati na watumizi wengine 15 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
'''Aishi Manula''' (amezaliwa [[13 Septemba]] [[1995]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Tanzania]] ambaye anacheza kama [[kipa]] wa [[timu ya taifa]] la Tanzania.


'''Aishi Salum Manula,''' alizaliwa [[13 Septemba]] [[1995]] ni [[mchezaji]] wa [[soka|Simba S. C]] anacheza kama mlinda mlango wa [[timu ya taifa|timu ya Taifa]] ya Tanzania<ref>https://www.transfermarkt.com/aishi-salum-manula/profil/spieler/401180</ref>. Na pia amewahi kuchezea timu nyingine kadhaa, zikiwemo Azam fc, kwa sasa yupo anacheza timu ya Simba SC.
Manula alizaliwa nchini [[Tanzania]] katika [[Mkoa wa Morogoro]] na kuanza [[kazi]] yake katika [[klabu]] ya soka ya [[Mtibwa]] wakati wa vijana.


==Maisha==
Katika mwaka wa [[2012]] alijiunga na [[Azam F.C.]] akiwa na [[umri]] wa miaka 17 tu, ushindi wake na ushirikiano wake umemsaidia kucheza katika kikosi cha kwanza [[mkataba]] wake ulifikia mwisho.
Manula alizaliwa nchini [[Tanzania]] katika [[Mkoa wa Morogoro]] na wakati wa [[ujana]] alianza [[kazi]] yake katika [[klabu]] ya soka ya [[Mkamba rangers]] iliyopo [[wilaya ya Kilombero]], mkoani Morogoro.


Katika [[mwaka]] [[2012]] alijiunga na [[Azam F.C.|Azam F.C]] akiwa na [[umri]] wa miaka 17 tu, [[ushindi]] wake na ushirikiano wake umemsaidia kucheza katika kikosi cha kwanza hadi [[mkataba]] wake ulipofikia mwisho.
Baada ya mafanikio ya kuvutia na Azam FC katika Ligi Kuu ya Tanzania vilabu vingi vilikuwa vinakaribia nafasi ya kumsaini uvumi wa kusaini Aishi alikuwa juu ya vyombo vya habari kununuliwa na klabu mbalimbali hatimaye kujiunga na [[Simba S.C.]] mwaka 2017 ambapo anaendelea kufanikiwa kwenye ligi na kusaidia timu yake kuchukua kikombe cha ligi na yeye mwenyewe akichukua glov ya dhahabu.


Baada ya mafanikio ya kuvutia na Azam FC katika [[Ligi Kuu ya Tanzania]] vilabu vingi vilikuwa vinakaribia nafasi ya kumsaini. Uvumi wa kusaini ulifanya [[vyombo vya habari]] viseme juu ya Aishi kununuliwa na klabu mbalimbali na hatimaye kujiunga na [[Simba S.C.]] mwaka [[2017]] ambapo anaendelea kufanikiwa kwenye ligi na kusaidia timu yake kuchukua kikombe cha ligi na yeye mwenyewe akichukua glovu ya dhahabu.

Aishi Manula anashikilia rekodi ya kutwaa tuzo za kipa bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo: mara mbili ameitwaa akiwa na Azam FC na mara mbili akiwa na Simba SC.

Aishi Manula ana rekodi ya kucheza michuano ya klabu bingwa Afrika akiwa na Simba na kufika hatua ya Robo Fainali.

Pia kipa huyu ameisaidia Tanzania kushiriki michuano ya Afcon mwaka [[2019]] kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39.

==Marejeo==
{{reflist}}
{{mbegu-cheza-mpira}}
{{mbegu-cheza-mpira}}
[[Jamii:watu walio hai]]
[[Jamii:waliozaliwa 1995]]
[[Jamii:waliozaliwa 1995]]
[[Jamii:watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Tanzania]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Tanzania]]

Toleo la sasa la 08:27, 20 Aprili 2024

Aishi Salum Manula, alizaliwa 13 Septemba 1995 ni mchezaji wa Simba S. C anacheza kama mlinda mlango wa timu ya Taifa ya Tanzania[1]. Na pia amewahi kuchezea timu nyingine kadhaa, zikiwemo Azam fc, kwa sasa yupo anacheza timu ya Simba SC.

Manula alizaliwa nchini Tanzania katika Mkoa wa Morogoro na wakati wa ujana alianza kazi yake katika klabu ya soka ya Mkamba rangers iliyopo wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro.

Katika mwaka 2012 alijiunga na Azam F.C akiwa na umri wa miaka 17 tu, ushindi wake na ushirikiano wake umemsaidia kucheza katika kikosi cha kwanza hadi mkataba wake ulipofikia mwisho.

Baada ya mafanikio ya kuvutia na Azam FC katika Ligi Kuu ya Tanzania vilabu vingi vilikuwa vinakaribia nafasi ya kumsaini. Uvumi wa kusaini ulifanya vyombo vya habari viseme juu ya Aishi kununuliwa na klabu mbalimbali na hatimaye kujiunga na Simba S.C. mwaka 2017 ambapo anaendelea kufanikiwa kwenye ligi na kusaidia timu yake kuchukua kikombe cha ligi na yeye mwenyewe akichukua glovu ya dhahabu.

Aishi Manula anashikilia rekodi ya kutwaa tuzo za kipa bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo: mara mbili ameitwaa akiwa na Azam FC na mara mbili akiwa na Simba SC.

Aishi Manula ana rekodi ya kucheza michuano ya klabu bingwa Afrika akiwa na Simba na kufika hatua ya Robo Fainali.

Pia kipa huyu ameisaidia Tanzania kushiriki michuano ya Afcon mwaka 2019 kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aishi Manula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.