[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Charlotte Hornets

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Uwanja wa timu ya Charlotte Hornets, Bobcats dhidi ya Dallas Mavericks mnamo Novemba 11, 2005.

Charlotte Hornets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Charlotte, North Carolina. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Terry Rozier.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Charlotte Hornets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.