[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

David Ben Gurion : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
(marekebisho 16 ya kati na watumizi wengine 11 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Ben Gurion 1957.jpg|thumb|250px|Ben Gurion alivyohotubia bunge la Israeli mwaka 1957]]
[[Picha:Ben Gurion 1957.jpg|thumb|250px|Ben Gurion alivyohotubia bunge la Israeli mwaka 1957]]
'''David Ben Gurion''' ([[Kiebrania]] '''‏דוד בן גוריון'''‎; * [[16 Oktoba]] [[1886]]; [[1 Desemba]] [[1973]]) alikuwa [[waziri mkuu]] wa kwanza wa dola la [[Israeli]].
'''David Ben Gurion''' ([[Kiebrania]] '''‏דוד בן גוריון'''‎; [[16 Oktoba]] [[1886]]; [[1 Desemba]] [[1973]]) alikuwa [[waziri mkuu]] wa kwanza wa dola la [[Israeli]].

Alizaliwa kwa jina la '''David Grün''' kwenye sehemu ya [[Poland]] iliyokuwa chini ya [[Milki ya Urusi]] katika familia ya Wayahudi waliojiunga na harakati ya [[Usioni]]. Mwenyewe alikuwa mfuasi wa Usioni na Usoshalisti.

Mstari 6: Mstari 6:
Mwaka 1906 alihamia [[Palestina]] (wakati ule chini ya [[milki ya Osmani]]) baada ya kusikitika ubaguzi dhidi ya Wayahudi katika Milki ya Urusi. Alikuwa mfanyakazi wa kilimo mwanzoni akaendelea kuwa mwandishi wa habari na kujenga shirika ya walinzi kwa vijiji vilivyoundwa na Wayahudi waliohamia Palestian wakati ule. 1912 alikwenda Istanbul akachukua digri ya sheria kwenye chuo kikuu. Wakati ule alianza kutumia jina la Kiebrania "Ben Gurion" (maana yake ''mwanasimba'').

Aliendelea kuwa kiongozi wa harakati ya kisoshalisti ya Wayahudi wasoshalisti alijenga [[chama cha wafanyakazi]] Wayahudi cha [[Histradut]] na pia kundi la wanamigambo wa [[Hagana]] lililoendelea baadaye kuwa kiini cha jeshi la Israeli.
Aliendelea kuwa kiongozi wa harakati ya kisoshalisti ya Wayahudi wasoshalisti alijenga [[chama cha wafanyakazi]] Wayahudi cha [[Histradut]] na pia kundi la wanamgambo wa [[Hagana]] lililoendelea baadaye kuwa kiini cha jeshi la Israeli.

Alikuwa kiongozi wa kisiasa na kijeshi wa Israeli katika vita ya kuanzisha nchi hii mwaka 1948/49 akatangaza uhuru wa Israel na kuwa kiongozi wa serikali ya kwanza.
Alikuwa kiongozi wa kisiasa na kijeshi wa Israeli katika vita ya kuanzisha nchi hii mwaka 1948/49 akatangaza uhuru wa Israel na kuwa kiongozi wa serikali ya kwanza.
Mstari 15: Mstari 15:

Alihesabiwa kati ya watu muhimu 100 wa karne ya 20. Kiwanja cha ndege cha [[Tel Aviv]] imepewa jina lake kwa heshima.
Alihesabiwa kati ya watu muhimu 100 wa karne ya 20. Kiwanja cha ndege cha [[Tel Aviv]] imepewa jina lake kwa heshima.
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{mbegu-mwanasiasa}}

[[Jamii:Wanasiasa wa Israeli]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Israeli]]

{{Link FA|es}}

[[an:David Ben-Gurion]]
[[ar:دافيد بن غوريون]]
[[arz:دافيد بن جوريون]]
[[az:David Ben-Qurion]]
[[ba:Давид Бен-Гурион]]
[[bat-smg:David Ben-Gurion]]
[[be:Давід Бен-Гурыён]]
[[bg:Давид Бен-Гурион]]
[[br:David Ben Gourion]]
[[bs:David Ben-Gurion]]
[[ca:David Ben-Gurion]]
[[cs:David Ben Gurion]]
[[cy:David Ben-Gurion]]
[[da:David Ben-Gurion]]
[[de:David Ben-Gurion]]
[[el:Νταβίντ Μπεν Γκουριόν]]
[[en:David Ben-Gurion]]
[[eo:David Ben-Gurion]]
[[es:David Ben-Gurión]]
[[et:David Ben-Guriyyon]]
[[eu:David Ben-Gurion]]
[[fa:داوید بن گوریون]]
[[fi:David Ben-Gurion]]
[[fr:David Ben Gourion]]
[[fy:David Ben-Gurion]]
[[gl:David Ben-Gurion]]
[[he:דוד בן-גוריון]]
[[hif:David Ben-Gurion]]
[[hr:David Ben-Gurion]]
[[hu:David Ben-Gurion]]
[[id:David Ben-Gurion]]
[[is:David Ben-Gurion]]
[[it:David Ben-Gurion]]
[[ja:ダヴィド・ベン=グリオン]]
[[ka:დავიდ ბენ-გურიონი]]
[[ko:다비드 벤구리온]]
[[la:David Ben-Gurion]]
[[lb:David Ben-Gurion]]
[[lt:Davidas Ben Gurionas]]
[[lv:Dāvids Ben Gurions]]
[[ml:ഡേവിഡ് ബെൻ-ഗുരിയൻ]]
[[mn:Давид Бен-Гурион]]
[[mr:डेव्हिड बेन-गुरियन]]
[[ms:David Ben-Gurion]]
[[nl:David Ben-Gurion]]
[[nn:David Ben-Gurion]]
[[no:David Ben-Gurion]]
[[pl:Dawid Ben Gurion]]
[[pnb:ڈیوڈ بن گوریان]]
[[pt:David Ben-Gurion]]
[[ro:David Ben Gurion]]
[[ru:Бен-Гурион, Давид]]
[[sh:David Ben-Gurion]]
[[simple:David Ben-Gurion]]
[[sk:David Ben Gurion]]
[[sl:David Ben-Gurion]]
[[sq:David Ben-Gurion]]
[[sr:Давид Бен-Гурион]]
[[sv:David Ben-Gurion]]
[[ta:டேவிட் பென்-குரியன்]]
[[tg:Давид Бен-Гурион]]
[[tr:David Ben-Gurion]]
[[uk:Давид Бен-Гуріон]]
[[vi:David Ben-Gurion]]
[[wa:David Ben Gourion]]
[[war:David Ben-Gurion]]
[[yi:דוד בן גוריון]]
[[zh:戴维·本-古里安]]

Toleo la sasa la 15:09, 7 Januari 2022

Ben Gurion alivyohotubia bunge la Israeli mwaka 1957

David Ben Gurion (Kiebrania ‏דוד בן גוריון‎; 16 Oktoba 1886; 1 Desemba 1973) alikuwa waziri mkuu wa kwanza wa dola la Israeli.

Alizaliwa kwa jina la David Grün kwenye sehemu ya Poland iliyokuwa chini ya Milki ya Urusi katika familia ya Wayahudi waliojiunga na harakati ya Usioni. Mwenyewe alikuwa mfuasi wa Usioni na Usoshalisti.

Mwaka 1906 alihamia Palestina (wakati ule chini ya milki ya Osmani) baada ya kusikitika ubaguzi dhidi ya Wayahudi katika Milki ya Urusi. Alikuwa mfanyakazi wa kilimo mwanzoni akaendelea kuwa mwandishi wa habari na kujenga shirika ya walinzi kwa vijiji vilivyoundwa na Wayahudi waliohamia Palestian wakati ule. 1912 alikwenda Istanbul akachukua digri ya sheria kwenye chuo kikuu. Wakati ule alianza kutumia jina la Kiebrania "Ben Gurion" (maana yake mwanasimba).

Aliendelea kuwa kiongozi wa harakati ya kisoshalisti ya Wayahudi wasoshalisti alijenga chama cha wafanyakazi Wayahudi cha Histradut na pia kundi la wanamgambo wa Hagana lililoendelea baadaye kuwa kiini cha jeshi la Israeli.

Alikuwa kiongozi wa kisiasa na kijeshi wa Israeli katika vita ya kuanzisha nchi hii mwaka 1948/49 akatangaza uhuru wa Israel na kuwa kiongozi wa serikali ya kwanza.

Aliendelea kama waziri mkuu hadi 1963 alipojiuzulu lakini alishiriki katika siasa hadi 1970.

1973 aliaga dunia kwenye kibbuz Tel Hashomer.

Alihesabiwa kati ya watu muhimu 100 wa karne ya 20. Kiwanja cha ndege cha Tel Aviv imepewa jina lake kwa heshima.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Ben Gurion kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.