[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Fake Pastors : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Muddyb (majadiliano | michango)
No edit summary
Muddyb (majadiliano | michango)
typo
Mstari 8: Mstari 8:
| mtunzi = [[Eric Shigongo]]
| mtunzi = [[Eric Shigongo]]
| mwadithiaji =
| mwadithiaji =
| nyota = [[Adam Kuambiana]]
[[Vicent Kigosi]]
[[Jokette Mwegelo]]
[[Lisa Jensen]]
[[Blandina Chagula]]
[[Emmanuel Myamba]]
| nyota = [[Adam Kuambiana]]
[[Vicent Kigosi]]
[[Jokette Mwegelo]]
[[Lisa Jensen]]
[[Blandina Changula]]
[[Emmanuel Myamba]]
| muziki =
| muziki =
| sinematografi =
| sinematografi =
Mstari 22: Mstari 22:
| ikafuatiwa_na =
| ikafuatiwa_na =

''''{{PAGENAME}}''' ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini [[Tanzania]]. Ndani yake anakuja [[Adam Kuambiana]] (Petro), [[Vicent Kigosi]] (Ray), Jokette Mwegelo (Jach), [[Lisa Jensen]] (Lisa), na [[Blandina Chagula]]. Filamu imeongozwa na [[Gervas Kasiga]] na kutayarishwa na [[Eric Shigongo]] na Kigosi. Filamu inahusu wachungaji wawili wanaotumia shida za waumini wao kama sehemu ya mtaji wa kuwataka aidha kimapenzi au kifedha. Filamu inaonesha tabia za baadhi ya wachungaji bandia waliokithili katika ulimwengu wetu. Kuambiana ameonesha uwezo wa hali ya juu katika filamu hii. Tangu hapa kajitengenezea baadaye yenye nuru na kutambulika katika ulimwengu wa [[filamu za Tanzania]]. <ref>[http://www.bongocinema.com/movies/view/fake-pastors {{BASEPAGENAME}}] katika [[Bongo Cinema.com]]</ref>
''''{{PAGENAME}}''' ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini [[Tanzania]]. Ndani yake anakuja [[Adam Kuambiana]] (Petro), [[Vicent Kigosi]] (Ray), Jokette Mwegelo (Jach), [[Lisa Jensen]] (Lisa), na [[Blandina Changula|Blandina Chagula]]. Filamu imeongozwa na [[Gervas Kasiga]] na kutayarishwa na [[Eric Shigongo]] na Kigosi. Filamu inahusu wachungaji wawili wanaotumia shida za waumini wao kama sehemu ya mtaji wa kuwataka aidha kimapenzi au kifedha. Filamu inaonesha tabia za baadhi ya wachungaji bandia waliokithili katika ulimwengu wetu. Kuambiana ameonesha uwezo wa hali ya juu katika filamu hii. Tangu hapa kajitengenezea baadaye yenye nuru na kutambulika katika ulimwengu wa [[filamu za Tanzania]]. <ref>[http://www.bongocinema.com/movies/view/fake-pastors {{BASEPAGENAME}}] katika [[Bongo Cinema.com]]</ref>
==Hadithi==
==Hadithi==
Filami inaanza na vijana wawili watanashati Patrick (Vicent Kigosi) na Petro (Adam Kuambiana) waliohitumu [[Chuo Kikuu cha Mzumbe]], [[Morogoro]]. Akilini mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na shahada masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.
Filami inaanza na vijana wawili watanashati Patrick (Vicent Kigosi) na Petro (Adam Kuambiana) waliohitumu [[Chuo Kikuu cha Mzumbe]], [[Morogoro]]. Akilini mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na shahada masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.

Pitio la 10:04, 13 Septemba 2017

Fake Pastors

Posta ya Fake Pastors
Imeongozwa na Gervas Kasiga
Imetayarishwa na Eric Shigongo
Imetungwa na Eric Shigongo
Nyota Adam Kuambiana
Vicent Kigosi
Jokette Mwegelo
Lisa Jensen
Blandina Changula
Emmanuel Myamba
Imetolewa tar. 3 Aprili, 2007
Ina muda wa dk. 120
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

'Fake Pastors ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Adam Kuambiana (Petro), Vicent Kigosi (Ray), Jokette Mwegelo (Jach), Lisa Jensen (Lisa), na Blandina Chagula. Filamu imeongozwa na Gervas Kasiga na kutayarishwa na Eric Shigongo na Kigosi. Filamu inahusu wachungaji wawili wanaotumia shida za waumini wao kama sehemu ya mtaji wa kuwataka aidha kimapenzi au kifedha. Filamu inaonesha tabia za baadhi ya wachungaji bandia waliokithili katika ulimwengu wetu. Kuambiana ameonesha uwezo wa hali ya juu katika filamu hii. Tangu hapa kajitengenezea baadaye yenye nuru na kutambulika katika ulimwengu wa filamu za Tanzania. [1]

Hadithi

Filami inaanza na vijana wawili watanashati Patrick (Vicent Kigosi) na Petro (Adam Kuambiana) waliohitumu Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro. Akilini mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na shahada masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.

Baada ya kutembea katika ofisi moja hadi nyingine wakitafuta kazi bila mafanikio, hatimaye wanagundua kuanzisha kanisa ndio suluhisho pekee walilobakiza hivyo wanaamua kuwa wachungaji wa bandia (Fake Pastors). Dhima ya kuanzisha kanisa ilikuwa ni kujitajirisha badala ya kumtumikia Mungu, kazi yao inakuwa ni kuwakamua waumini fedha na mali walizonazo.

Kwakufanya hivyo wanajikusanyia utajiri mkubwa hasa baada ya misada kuanzia kuingia kutoka nje kwa wahisani, baadala ya kufanya kazi ya Mungu wao wanazitumia fedha hizo katika anasa wakilewa pombe na knunua machangudoa usiku na ifikapo asubuhi wahubiri injili kama kawaida na kuwafanya wamini wazidi kuwaumini. Baadaye walijiingiza katika biashara haramu dawa za kulevya ndipo hapo bahati yao ilipoenda kombo, nakuanguka vibaya katika hila zao.

Washiriki

Marejeo