[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Farao : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
No edit summary
Tag: Disambiguation links
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Pharaoh.svg|thumb|Farao.]]
[[Picha:Pharaoh.svg|thumb|Farao.]]
'''Farao''' (kwa [[Kimisri]] ''jumba''. Katika [[lugha]] ya [[Kiswahili]] linatumika pia jina '''Firauni''') lilikuwa [[jina]] la [[heshima]] ambalo kila [[mfalme]] wa [[Misri ya kale]] alipewa. Jina hilo lilitumika hadi [[Warumi]] walipoiteka Misri [[mwaka]] [[30 KK]]. Farao wa mwisho alikuwa malkia [[Kleopatra]]. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.
'''Farao''' (kwa [[Kimisri]] ''jumba''. Katika [[lugha]] ya [[Kiswahili]] linatumika pia jina '''Firauni''') lilikuwa [[jina]] la [[heshima]] ambalo kila [[mfalme]] wa [[Misri ya kale]] alipewa. Jina hilo lilitumika hadi [[Warumi]] walipoiteka Misri [[mwaka]] [[30 KK]]. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.


Maarufu zaidi ni [[Ramses II]] aliyekuwa farao wa masimulizi ya [[QURAN TUKUFU]] kuhusu [[Musa]], pamoja na [[Tutankhamun]] ambaye ni farao wa pekee ambaye kaburi lake lilihifadhiwa bila kuporwa na majambazi.
Maarufu zaidi ni [[Ramses II]] aliyekuwa farao wa masimulizi ya [[Biblia]] na [[Kurani]] kuhusu [[Musa]], pamoja na [[Tutankhamun]] ambaye ni farao pekee ambaye [[kaburi]] lake limehifadhiwa hadi leo bila kuporwa na majambazi.

Farao wa mwisho alikuwa [[malkia]] [[Kleopatra]].


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.ancient-egypt-online.com/ancient-egyptian-pharaohs.html#famous-pharaohs Farao 10 Maarufu]
* [http://www.ancient-egypt-online.com/ancient-egyptian-pharaohs.html#famous-pharaohs Farao 10 Maarufu]

{{mbegu-historia}}
{{mbegu-historia}}

[[Jamii:Mafarao wa Misri ya Kale|*]]
[[Jamii:Mafarao wa Misri ya Kale|*]]
[[Jamii:Cheo]]
[[Jamii:Cheo]]

Toleo la sasa la 07:46, 25 Desemba 2022

Farao.

Farao (kwa Kimisri jumba. Katika lugha ya Kiswahili linatumika pia jina Firauni) lilikuwa jina la heshima ambalo kila mfalme wa Misri ya kale alipewa. Jina hilo lilitumika hadi Warumi walipoiteka Misri mwaka 30 KK. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.

Maarufu zaidi ni Ramses II aliyekuwa farao wa masimulizi ya Biblia na Kurani kuhusu Musa, pamoja na Tutankhamun ambaye ni farao pekee ambaye kaburi lake limehifadhiwa hadi leo bila kuporwa na majambazi.

Farao wa mwisho alikuwa malkia Kleopatra.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farao kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.