[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Farao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 07:27, 25 Desemba 2022 na 196.249.92.209 (majadiliano)
Farao.

Farao (kwa Kimisri jumba. Katika lugha ya Kiswahili linatumika pia jina Firauni) lilikuwa jina la heshima ambalo kila mfalme wa Misri ya kale alipewa. Jina hilo lilitumika hadi Warumi walipoiteka Misri mwaka 30 KK. Farao wa mwisho alikuwa malkia Kleopatra. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.

Maarufu zaidi ni Ramses II aliyekuwa farao wa masimulizi ya QURAN TUKUFU kuhusu Musa, pamoja na Tutankhamun ambaye ni farao wa pekee ambaye kaburi lake lilihifadhiwa bila kuporwa na majambazi.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farao kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.