[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Fardosa Ahmed : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
(Sahihisho moja la kati na mtumizi mwingine na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Fardosa ahmed.jpg|thumbnail|right|200px| Fardosa Ahmed]]

[[Daktari|Dokta]] '''Fardosa Ahmed''' alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni [[mjasiriamali]], msimamizi wa [[afya]], ambaye anahudumu kama [[afisa]] mkuu wa utendaji katika [[Hospitali]] ya Premier, [[Mombasa]], kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndye muanzilishi na mmiliki.<ref>https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html</ref>
[[Daktari|Dokta]] '''Fardosa Ahmed''' alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni [[mjasiriamali]], msimamizi wa [[afya]], ambaye anahudumu kama [[afisa]] mkuu wa utendaji katika [[Hospitali]] ya Premier, [[Mombasa]], kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndye muanzilishi na mmiliki.<ref>https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html</ref>


== Elimu ==
== Elimu ==
Alisomea Shule ya Msingi Makini, jijini [[Nairobi]], [[mji mkuu]] wa [[Kenya]]. Kisha alihamia Shule ya Loreto Convent Valley Road, jijini Nairobi, ambako alihitimu [[stashahada]] ya Shule ya Upili. Kisha alijiunga katika [[Chuo Kikuu cha Nairobi]], ambako alisomea [[Uzamivu|udaktari]] wa binadamu, na kuhitimu Shahada ya Udaktari na Upasuaji.<ref>https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html</ref> Baadaye alipata stashahada ya uzamili katika usimamizi wa afya.<ref>https://cdn.nation.co.ke/pdfs/Top40under40Women2018.pdf</ref>
Alisomea Shule ya Msingi Makini, jijini [[Nairobi]], [[mji mkuu]] wa [[Kenya]]. Kisha alihamia Shule ya Loreto Convent Valley Road, jijini Nairobi, ambako alihitimu [[stashahada]] ya Shule ya Upili. Kisha alijiunga katika [[Chuo Kikuu cha Nairobi]], ambako alisomea [[Uzamivu|udaktari]] wa binadamu, na kuhitimu Shahada ya Udaktari na Upasuaji.<ref>https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html</ref> Baadaye alipata stashahada ya uzamili katika usimamizi wa afya.<ref>{{Cite web |url=https://cdn.nation.co.ke/pdfs/Top40under40Women2018.pdf |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2022-08-11 |archivedate=2018-09-29 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180929080021/https://cdn.nation.co.ke/pdfs/Top40under40Women2018.pdf }}</ref>


== Marejeo ==
== Marejeo ==

Toleo la sasa la 17:28, 20 Agosti 2024

Fardosa Ahmed

Dokta Fardosa Ahmed alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni mjasiriamali, msimamizi wa afya, ambaye anahudumu kama afisa mkuu wa utendaji katika Hospitali ya Premier, Mombasa, kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndye muanzilishi na mmiliki.[1]

Alisomea Shule ya Msingi Makini, jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Kisha alihamia Shule ya Loreto Convent Valley Road, jijini Nairobi, ambako alihitimu stashahada ya Shule ya Upili. Kisha alijiunga katika Chuo Kikuu cha Nairobi, ambako alisomea udaktari wa binadamu, na kuhitimu Shahada ya Udaktari na Upasuaji.[2] Baadaye alipata stashahada ya uzamili katika usimamizi wa afya.[3]

  1. https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html
  2. https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html
  3. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fardosa Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.