Fardosa Ahmed : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Daktari|Dokta]] Fardosa Ahmed alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni [[mjasiriamali]], msimamizi wa [[afya]], ambaye ana hudumu kama [[afisa]] mkuu wa utendaji katika [[Hospitali]] ya Premier, [[Mombasa]] Kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndo muanzilishi na mmiliki.<ref>https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html</ref> |
[[Daktari|Dokta]] '''Fardosa Ahmed''' alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni [[mjasiriamali]], msimamizi wa [[afya]], ambaye ana hudumu kama [[afisa]] mkuu wa utendaji katika [[Hospitali]] ya Premier, [[Mombasa]] Kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndo muanzilishi na mmiliki.<ref>https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html</ref> |
||
== Elimu == |
== Elimu == |
||
Mstari 5: | Mstari 5: | ||
== Marejeo == |
== Marejeo == |
||
{{Reflist}} |
|||
{{mbegu-mtu}} |
|||
[[Jamii:Afya]] |
[[Jamii:Afya]] |
||
[[Jamii:Kenya]] |
[[Jamii:Kenya]] |
Pitio la 05:21, 12 Agosti 2022
Dokta Fardosa Ahmed alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni mjasiriamali, msimamizi wa afya, ambaye ana hudumu kama afisa mkuu wa utendaji katika Hospitali ya Premier, Mombasa Kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndo muanzilishi na mmiliki.[1]
Elimu
Alisomea Shule ya Msingi Makini, jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Kisha alihamia Shule ya Loreto Convent Valley Road, jijini Nairobi, ambako alihitimu stashahada ya Shule ya Upili. Kisha alijiunga katika Chuo Kikuu cha Nairobi, ambako alisomea udaktari wa binadamu, na kuhitimu Shahada ya Udaktari na Upasuaji.[2] Badae ,alipata stashahada ya uzamili katika usimamizi wa afya.[3]
Marejeo
- ↑ https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html
- ↑ https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html
- ↑ https://cdn.nation.co.ke/pdfs/Top40under40Women2018.pdf
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fardosa Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |