[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Kanu (mnyama) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Masahihisho katika sanduku
Mstari 15: Mstari 15:
| jenasi = ''[[Genetta]]''
| jenasi = ''[[Genetta]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Lorenz Oken|Oken]], 1816
| bingwa_wa_jenasi = [[Lorenz Oken|Oken]], 1816
| subdivision = '''Spishi 14:'''
| spishi = ''[[Genetta abyssinica|G. abyssinica]]'' ([[Eduard Rüppell|Rüppell]], 1836)

''[[Genetta angolensis|G. angolensis]]'' [[José Vicente Barbosa du Bocage|Bocage]], 1882

* ''[[Genetta abyssinica|G. abyssinica]]'' ([[Eduard Rüppell|Rüppell]], 1836)

''[[Genetta bourloni|G. bourloni]]'' [[Gaubert]], 2003

* ''[[Genetta angolensis|G. angolensis]]'' [[José Vicente Barbosa du Bocage|Bocage]], 1882

''[[Genetta cristata|G. cristata]]'' [[Hayman]], 1940

* ''[[Genetta bourloni|G. bourloni]]'' [[Gaubert]], 2003

''[[Genetta genetta|G. genetta]]'' ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)

* ''[[Genetta cristata|G. cristata]]'' [[Hayman]], 1940

''[[Genetta johnstoni|G. johnstoni]]'' [[Reginald Innes Pocock|Pocock]], 1908

* ''[[Genetta genetta|G. genetta]]'' ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)

''[[Genetta maculata|G. maculata]]'' ([[John Edward Gray|Gray]], 1830)

* ''[[Genetta johnstoni|G. johnstoni]]'' [[Reginald Innes Pocock|Pocock]], 1908

''[[Genetta pardina|G. pardina]]'' [[Isidore Geoffroy Saint-Hilaire|I. Geoffroy Saint-Hilaire]], 1832

* ''[[Genetta maculata|G. maculata]]'' ([[John Edward Gray|Gray]], 1830)

''[[Genetta piscivora|G. piscivora]]'' ([[Joel Asaph Allen|J.A. Allen]], 1919)

* ''[[Genetta pardina|G. pardina]]'' [[Isidore Geoffroy Saint-Hilaire|I. Geoffroy Saint-Hilaire]], 1832

''[[Genetta poensis|G. poensis]]'' [[Waterhouse]], 1838

* ''[[Genetta piscivora|G. piscivora]]'' ([[Joel Asaph Allen|J.A. Allen]], 1919)

''[[Genetta servalina|G. servalina]]'' [[Jacques Pucheran|Pucheran]], 1855

* ''[[Genetta poensis|G. poensis]]'' [[Waterhouse]], 1838

''[[Genetta thierryi|G. thierryi]]'' [[Paul Matschie|Matschie]], 1902

* ''[[Genetta servalina|G. servalina]]'' [[Jacques Pucheran|Pucheran]], 1855

''[[Genetta tigrina|G. tigrina]]'' ([[Johann Christian Daniel von Schreber|Schreber]], 1776)

* ''[[Genetta thierryi|G. thierryi]]'' [[Paul Matschie|Matschie]], 1902

''[[Genetta victoriae|G. victoriae]]'' [[Oldfield Thomas|Thomas]], 1901
* ''[[Genetta tigrina|G. tigrina]]'' ([[Johann Christian Daniel von Schreber|Schreber]], 1776)

* ''[[Genetta victoriae|G. victoriae]]'' [[Oldfield Thomas|Thomas]], 1901

'''Kanu''', '''kala''' au '''karasa''' ni [[mnyama|wanyama]] mbua wadogo wa [[jenasi]] ''[[Genetta]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Viverridae]]. [[Kanu mlasamaki]] aliainishwa katika jenasi ''[[Osbornictis]]'' lakini wataalamu wameonyesha kama spishi hii ina mnasaba wa karibu na kanu wa jenasi ''Genetta''. Wanyama hawa ni warefu na wembamba wenye [[mkia]] mrefu, [[kichwa]] kidogo na [[sikio|masikio]] makubwa. Rangi yao ni nyeupe hadi njano na wana madoa meusi na mkia wenye miviringo. Mkia wao ni mrefu sana: 1-1.5 mara urefu wa mwili. Hiyo inawapa taraju wakisombea miti na kuchupa [[tawi|matawi]]. Wanatokea [[Afrika]] tu isipokuwa [[kanu madoa-madogo]] ambaye anatokea [[Rasi ya Iberia]] na [[Mashariki ya Kati]] pia. Kanu wana [[tezi]] kando ya mkundu zinazotoa aina ya [[zabadi]] ambayo inanuka sana. Hula wanyama wadogo, [[mjusi|mijusi]], [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo, [[amfibia]], [[mdudu|wadudu]] na hata [[tunda|matunda]].

Pitio la 18:37, 7 Desemba 2021

Kanu
Kanu madoa-madogo (Genetta genetta)
Kanu madoa-madogo (Genetta genetta)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Viverridae (Wanyama walio na mnasaba na paka zabadi)
Nusufamilia: Viverrinae (Wanyama wanaofanana na paka zabadi)
Jenasi: Genetta
Oken, 1816
Ngazi za chini

Spishi 14:

Kanu, kala au karasa ni wanyama mbua wadogo wa jenasi Genetta katika familia Viverridae. Kanu mlasamaki aliainishwa katika jenasi Osbornictis lakini wataalamu wameonyesha kama spishi hii ina mnasaba wa karibu na kanu wa jenasi Genetta. Wanyama hawa ni warefu na wembamba wenye mkia mrefu, kichwa kidogo na masikio makubwa. Rangi yao ni nyeupe hadi njano na wana madoa meusi na mkia wenye miviringo. Mkia wao ni mrefu sana: 1-1.5 mara urefu wa mwili. Hiyo inawapa taraju wakisombea miti na kuchupa matawi. Wanatokea Afrika tu isipokuwa kanu madoa-madogo ambaye anatokea Rasi ya Iberia na Mashariki ya Kati pia. Kanu wana tezi kando ya mkundu zinazotoa aina ya zabadi ambayo inanuka sana. Hula wanyama wadogo, mijusi, ndege wadogo, amfibia, wadudu na hata matunda.

Spishi

Picha

Marejeo

Wikimedia Commons ina media kuhusu: