Kiazi
Mandhari
Kiazi ni sehemu ya mzizi wa mmea ambayo imekua nene na inahifadhi chakula cha mmea. Mifano ni kiazi kitamu, kiazi kikuu, kiazi cha kizungu, jimbi na karoti. Kiazi isichanganyikiwe na tunguu ambalo ni sehemu ya shina.