[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Lugha za Kibantu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
rm credits
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Lugha za Afrika ramani.PNG|right|350px|thumb|Ramani hii inaonyesha enezi la '''lugha za Kibantu''' (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).]]
[[Image:Lugha za Afrika ramani.PNG|right|350px|thumb|Ramani hii inaonyesha enezi la '''lugha za Kibantu''' (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).]]

'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la lugha ambalo ni tawi la [[lugha za Niger-Congo]].
'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la lugha ambalo liko tawi moja la [[lugha za Niger-Congo]]. Lugha za Kibantu huzungumzwa katika nchi za [[Kamerun]], [[Nigeria]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kongo]] zote mbili, [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Angola]], [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]], [[Zimbabwe]], [[Namibia]], [[Botswana]], na [[Afrika ya Kusini]]. Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani mwa [[Afrika]], na idadi ya wasemaji Wabantu ni takriban milioni 310.

Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za [[Kamerun]], [[Nigeria]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kongo]] zote mbili, [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Angola]], [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]], [[Zimbabwe]], [[Namibia]], [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Swaziland]] na [[Afrika ya Kusini]].
Neno la '''Bantu''', maana yake ni ''watu'' katika lugha nyingi za Kibantu. Shina lake ni ''-ntu'', na [[kiambishi awali]] cha ''ba-'' kinaonyesha [[uwingi]]. Kwa sababu hiyo, mtaalamu [[Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek]] (aliyeishi 1827 hadi 1875) alitumia neno la '''Bantu''' kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha [[sarufi]] za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye [[Carl Meinhof]] alimfuata katika utafiti huo.

Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani [[Afrika]], na idadi ya wanaozitumia ni takriban milioni 310.

Neno '''Bantu''', maana yake ni ''watu'' katika lugha nyingi za kundi hilo. Shina lake ni ''-ntu'', na [[kiambishi awali]] cha ''ba-'' kinaonyesha [[uwingi]]. Kwa sababu hiyo, mtaalamu [[Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek]] (aliyeishi 1827 hadi 1875) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha [[sarufi]] za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye [[Carl Meinhof]] alimfuata katika utafiti huo.

Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu [[Malcolm Guthrie]] aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia. Kila eneo limepata herufi yake—A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S—na ndani ya kila eneo kuna tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza [[lugha ya nasaba]] ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.

==Tabia za Kibantu na historia ya lugha==
==Tabia za Kibantu na historia ya lugha==
Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizi za pamoja ni viambishi awali na [[ngeli za nomino]].
Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizo kuna viambishi awali na [[ngeli za nomino]].

Kutokana na sifa hizi wataalamu wa lugha wamekadiria ya kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwepo katika maeneo ya [[Kamerun]] ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu walihamia katika [[milenia ya pili KK]] [[Kongo]] hadi [[Zambia]]. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa. Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa [[lugha za Khoikhoi]]. Wataalamu wamekadiria ya kwamba Wabantu walifaulu kunea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.
Kutokana na sifa hizo wataalamu wamekadiria kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwa katika maeneo ya [[Kamerun]] ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu walihamia katika [[milenia ya pili KK]] [[Kongo]] hadi [[Zambia]]. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa. Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa [[lugha za Khoikhoi]]. Wataalamu wamekisia kwamba Wabantu walifaulu kunea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.

Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi ni Kiswahili na Kilingala. Lugha zenye wasemaji wengi kama lugha ya kwanza ni Kizulu na Kishona.
Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi kuna Kiswahili na Kilingala. Lugha zenye wasemaji wengi kama lugha ya kwanza ni Kizulu na Kishona.

==Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi==
==Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi==
''(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado zinatofautiana kati ya makala na makala)''
''(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado ina tofauti kati ya makala na makala)''
*[[Kiswahili]] na lahaja zake (wasemaji milioni 75) : [[Tanzania]], [[Kenya]], [[Uganda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Komori]], [[Mayotte]], [[Msumbiji]], [[Somalia]].

*[[Kinyarwanda-Kirundi]] : (wasemaji milioni 15): Rwanda, Burundi
*[[Kinyarwanda-Kirundi]] : (wasemaji milioni 15): Rwanda, Burundi
Mstari 22: Mstari 26:
*[[Zulu]] (wasemaji milioni 9) : [[Afrika Kusini]]
*[[Zulu]] (wasemaji milioni 9) : [[Afrika Kusini]]
*[[Shona]] (wasemaji milioni 7) : Msumbiji, [[Zambia]], [[Zimbabwe]]
*[[Shona]] (wasemaji milioni 7) : Msumbiji, [[Zambia]], [[Zimbabwe]]
*[[Gikuyu]] (wasemaji milioni 7) : Kenya
*[[Kikongo]] (wasemaji milioni 6) : Angola, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
*[[Kikongo]] (wasemaji milioni 6) : Angola, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
*[[Chiluba]] (wasemaji milioni 6) : Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo, [[Angola]]
*[[Chiluba]] (wasemaji milioni 6) : Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo, [[Angola]]

*[[Gikuyu]] (wasemaji milioni 7) : Kenya

Pitio la 08:43, 9 Aprili 2009

Ramani hii inaonyesha enezi la lugha za Kibantu (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).

Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Congo.

Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za Kamerun, Nigeria, Gabon, Guinea ya Ikweta, Kongo zote mbili, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Tanzania, Angola, Zambia, Malawi, Msumbiji, Zimbabwe, Namibia, Botswana, Lesotho, Swaziland na Afrika ya Kusini.

Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani Afrika, na idadi ya wanaozitumia ni takriban milioni 310.

Neno Bantu, maana yake ni watu katika lugha nyingi za kundi hilo. Shina lake ni -ntu, na kiambishi awali cha ba- kinaonyesha uwingi. Kwa sababu hiyo, mtaalamu Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek (aliyeishi 1827 hadi 1875) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha sarufi za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye Carl Meinhof alimfuata katika utafiti huo.

Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu Malcolm Guthrie aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia. Kila eneo limepata herufi yake—A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S—na ndani ya kila eneo kuna tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza lugha ya nasaba ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.

Tabia za Kibantu na historia ya lugha

Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizo kuna viambishi awali na ngeli za nomino.

Kutokana na sifa hizo wataalamu wamekadiria kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwa katika maeneo ya Kamerun ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu walihamia katika milenia ya pili KK Kongo hadi Zambia. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa. Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa lugha za Khoikhoi. Wataalamu wamekisia kwamba Wabantu walifaulu kunea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.

Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi kuna Kiswahili na Kilingala. Lugha zenye wasemaji wengi kama lugha ya kwanza ni Kizulu na Kishona.

Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi

(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado ina tofauti kati ya makala na makala)