[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Lugha za Kibantu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Lugha za Afrika ramani.PNG|right|350px|thumb|Ramani hii inaonyesha enezi la '''lugha za Kibantu''' (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).]]
[[Picha:Lugha za Afrika ramani.PNG|right|350px|thumb|[[Ramani]] hii inaonyesha enezi la '''lugha za Kibantu''' (rangi ya ma[[chungwa]]) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).]]


'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la lugha ambalo ni tawi la [[lugha za Niger-Kongo]].
'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la [[lugha]] ambalo ni [[tawi]] la [[lugha za Niger-Kongo]].


Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za [[Kamerun]], [[Nigeria]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kongo]] zote mbili, [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Angola]], [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]], [[Zimbabwe]], [[Namibia]], [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Swaziland]] na [[Afrika ya Kusini]].
Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za [[Nigeria]], [[Kamerun]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Gabon]], [[Jamhuri ya Kongo]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Komori]], [[Msumbiji]], [[Malawi]], [[Zambia]], [[Zimbabwe]], [[Angola]],[[Namibia]], [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Swaziland]] na [[Afrika ya Kusini]].


Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani [[Afrika]], na idadi ya wanaozitumia ni takriban milioni 310.
Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa [[bara]]ni [[Afrika]], na idadi ya wanaozitumia ni takriban milioni 310.


Neno '''Bantu''', maana yake ni ''watu'' katika lugha nyingi za kundi hilo. Shina lake ni ''-ntu'', na [[kiambishi awali]] cha ''ba-'' kinaonyesha [[uwingi]]. Kwa sababu hiyo, mtaalamu [[Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek]] (aliyeishi 1827 hadi 1875) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha [[sarufi]] za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye [[Carl Meinhof]] alimfuata katika utafiti huo.
Neno '''Bantu''', maana yake ni ''watu'' katika lugha nyingi za kundi hilo. [[Shina]] lake ni ''-ntu'', na [[kiambishi awali]] cha ''ba-'' kinaonyesha [[uwingi]]. Kwa sababu hiyo, [[mtaalamu]] [[Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek]] (aliyeishi tangu mwaka [[1827]] hadi [[1875]]) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha [[sarufi]] za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye [[Carl Meinhof]] alimfuata katika [[utafiti]] huo.


Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu [[Malcolm Guthrie]] aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia. Kila eneo limepata herufi yake—A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S—na ndani ya kila eneo kuna tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza [[lugha ya nasaba]] ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.
Kuna ma[[mia]] ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu [[Malcolm Guthrie]] aliziainisha kulingana na maeneo ya ki[[jiografia]]. Kila eneo limepata [[herufi]] yake — A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S — na ndani ya kila eneo kuna [[tarakimu]] tena. Pia, Guthrie alichunguza [[lugha ya nasaba]] ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.


== Tabia za Kibantu na historia ya lugha ==
== Tabia za Kibantu na historia ya lugha ==
Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizo kuna viambishi awali na [[ngeli za nomino]].
Lugha za Kibantu zina [[tabia]] mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizo kuna viambishi awali na [[ngeli za nomino]].
mmekosea kuandika neno haririri sio hariri ni hahriri
Kutokana na sifa hizo wataalamu wamekadiria kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwa katika maeneo ya [[Kamerun]] ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu walihamia katika [[milenia ya pili KK]] [[Kongo]] hadi [[Zambia]]. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa. Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa [[lugha za Khoikhoi]]. Wataalamu wamekisia kwamba Wabantu walifaulu kunea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.


Kutokana na [[sifa]] hizo wataalamu wamekadiria kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwa katika maeneo ya [[Kamerun]] ya [[Kusini]]; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu katika [[milenia ya pili KK]] walihamia [[Kongo]] hadi [[Zambia]]. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa.
Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi kuna Kiswahili na Kilingala. Lugha zenye wasemaji wengi kama lugha ya kwanza ni Kizulu na Kishona.

Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa [[lugha za Khoikhoi]]. Wataalamu wamekisia kwamba Wabantu walifaulu kuenea kutokana na [[maarifa]] yao ya [[kilimo]] na hasa matumizi ya [[chuma]] katika [[zana]] za kilimo na pia [[silaha]].

Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi kuna [[Kiswahili]] na [[Kilingala]]. Lugha zenye wasemaji wengi kama [[lugha ya kwanza]] ni [[Kizulu]] na [[Kishona]].


== Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi ==
== Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi ==
''(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado ina tofauti kati ya makala na makala)''
''(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado ina tofauti kati ya makala na makala)''
* [[Kiswahili]] na lahaja zake (wasemaji milioni 75) : [[Tanzania]], [[Kenya]], [[Uganda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Komori]], [[Mayotte]], [[Msumbiji]], [[Somalia]].
* [[Kiswahili]] na [[lahaja]] zake (wasemaji milioni 75) : [[Tanzania]], [[Kenya]], [[Uganda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Komori]], [[Mayotte]], [[Msumbiji]], [[Somalia]].
* [[Kinyarwanda-Kirundi]] : (wasemaji milioni 15): Rwanda, Burundi
* [[Kinyarwanda-Kirundi]] : (wasemaji milioni 15): Rwanda, Burundi
* [[Lingala]] (wasemaji milioni 10): Angola, Jamhuri ya Afrika ya Kati, [[Jamhuri ya Kongo]], Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, [[Gabon]]
* [[Lingala]] (wasemaji milioni 10): Angola, [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Jamhuri ya Kongo]], Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, [[Gabon]]
* [[Chichewa]] (wasemaji milioni 9) : [[Malawi]]
* [[Chichewa]] (wasemaji milioni 9) : [[Malawi]]
* [[Zulu]] (wasemaji milioni 9) : [[Afrika Kusini]]
* [[Zulu]] (wasemaji milioni 9) : [[Afrika Kusini]]
Mstari 28: Mstari 30:
* [[Gikuyu]] (wasemaji milioni 7) : Kenya
* [[Gikuyu]] (wasemaji milioni 7) : Kenya
* [[Kikongo]] (wasemaji milioni 6) : Angola, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
* [[Kikongo]] (wasemaji milioni 6) : Angola, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
* [[Chiluba]] (wasemaji milioni 6) : Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo, [[Angola]]
* [[Chiluba]] (wasemaji milioni 6) : Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, [[Angola]]

{{mbegu-lugha}}


[[Jamii:Makundi ya lugha]]
[[Jamii:Makundi ya lugha]]

Pitio la 09:14, 2 Februari 2015

Ramani hii inaonyesha enezi la lugha za Kibantu (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).

Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Kongo.

Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za Nigeria, Kamerun, Guinea ya Ikweta, Gabon, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Tanzania, Komori, Msumbiji, Malawi, Zambia, Zimbabwe, Angola,Namibia, Botswana, Lesotho, Swaziland na Afrika ya Kusini.

Enezi hilo linaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani Afrika, na idadi ya wanaozitumia ni takriban milioni 310.

Neno Bantu, maana yake ni watu katika lugha nyingi za kundi hilo. Shina lake ni -ntu, na kiambishi awali cha ba- kinaonyesha uwingi. Kwa sababu hiyo, mtaalamu Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek (aliyeishi tangu mwaka 1827 hadi 1875) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha sarufi za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye Carl Meinhof alimfuata katika utafiti huo.

Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu Malcolm Guthrie aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia. Kila eneo limepata herufi yake — A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S — na ndani ya kila eneo kuna tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza lugha ya nasaba ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.

Tabia za Kibantu na historia ya lugha

Lugha za Kibantu zina tabia mbalimbali za pamoja. Kati ya tabia hizo kuna viambishi awali na ngeli za nomino.

Kutokana na sifa hizo wataalamu wamekadiria kwamba asili ya lugha za Kibantu ilikuwa katika maeneo ya Kamerun ya Kusini; kutoka huko wasemaji asilia wa Kibantu katika milenia ya pili KK walihamia Kongo hadi Zambia. Waliendelea kuhamahama na kupanuka hadi kufika maeneo yote walipo sasa.

Sehemu kubwa ya maeneo ya wasemaji wa lugha za Kibantu zilikaliwa awali na wasemaji wa lugha za Khoikhoi. Wataalamu wamekisia kwamba Wabantu walifaulu kuenea kutokana na maarifa yao ya kilimo na hasa matumizi ya chuma katika zana za kilimo na pia silaha.

Kati ya lugha za Kibantu zinazotumika zaidi kuna Kiswahili na Kilingala. Lugha zenye wasemaji wengi kama lugha ya kwanza ni Kizulu na Kishona.

Lugha za Kibantu zenye wasemaji wengi

(Idadi ya wasemaji ni makadirio tu; bado ina tofauti kati ya makala na makala)

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kibantu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.