[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Sukari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bat-smg, be, be-x-old, ce, cv, el, gn, ka, la, nrm, pl, scn, vec Ondoa: uk Badiliko: is, tr
No edit summary
 
(marekebisho 48 ya kati na watumizi wengine 30 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Sucre blanc cassonade complet rapadura.jpg|250px|thumb|Aina nne za sukari]]
[[Picha:Sucre blanc cassonade complet rapadura.jpg|250px|thumb|Aina nne za sukari.]]
[[Image:Zucker 150 fach Polfilter.jpg|thumb|250px|Fuwele za sukari jinsi zinavyoonekana kwa [[hadubini]]]]
[[Picha:Zucker 150 fach Polfilter.jpg|thumb|250px|Fuwele za sukari jinsi zinavyoonekana kwa [[hadubini]].]]
'''Sukari''' (kutoka [[Kar.]] '''سكر‎''' ''sukkar'', iliyotoka kwenye [[Sanskrit]] ''sharkara'') ni [[dutu]] tamu inayoungwa katika [[chakula]] na [[Kinywaji|vinywaji]] kwa kusudi la kuzinogesha.


== Sukari kama chakula ==
'''Sukari''' (kutoka [[Kar.]] '''سكر‎''' ''sukkar'' iliyotoka kwenye [[Sanskrit]] ''sharkara'') ni dutu tamu inayoungwa katika [[chakula]] na vinywaji kwa kusudi la kuzinogesha.
Sukari ya chakula inapatikana kwa [[umbo]] la [[fuwele]] zenye [[rangi]] [[Rangi nyeupe|nyeupe]] na aina za [[kahawia]] mbalimbali kutegemeana na [[kiwango]] cha kusafishwa wakati wa kuitengeneza. Sukari inayopatikana [[duka|madukani]] imetengenezwa kutokana na [[miwa]] au [[bitiruti ya sukari]].

==Sukari kama chakula==
Sukari ya chakula inapatikana kwa umbo la [[fuwele]] zenye rangi nyeupe na aina za kahawia mbalimbali kutegemeana na kiwango cha kusafishwa wakati wa kuitengeneza. Sukari inayopatikana madukani imetengenezwa kutoka kwa [[miwa]] au [[bitiruti ya sukari]].


Watu hutia sukari katika vyakula na vinywaji vingi.
Watu hutia sukari katika vyakula na vinywaji vingi.


Sukari hupokelewa haraka na mwili ni chanzo muhimu cha nishati. Wakati huohuo matumizi ya sukari nyingi huleta hatari ya ugojwa wa [[kisukari]] na ugonjwa huo umeenea duniani tangu kupatikana kwa sukari kwa bei nafuu kutoka viwanda vikubwa. Hatari nyingine inayotokana na kula sukari nyingi ni kuoza kwa meno.
Sukari hupokewa haraka na [[mwili]] na ni chanzo muhimu cha [[nishati]]. Wakati huohuo matumizi ya sukari nyingi huleta hatari ya [[ugonjwa]] wa [[kisukari]] na ugonjwa huo umeenea [[Dunia|duniani]] tangu kupatikana kwa sukari kwa [[bei]] nafuu kutoka [[Kiwanda|viwanda]] vikubwa. Hatari nyingine, inayotokana na kula sukari nyingi, ni kuoza kwa [[meno]]<ref>https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/unayopaswa-kufahamu-kuhusu-sukari-mwilini-3874098</ref>.


Kikemia sukari ni aina ya [[kabohidrati]] yaani [[wanga]]. Tukila wanga (kwa mfano [[ugali]], [[viazi]], [[mkate]]) mwili wetu huvunja [[molekyuli]] za wanga kuwa molekyuli ndogo zaidi za sukari. Hii ni sababu ya kwamba tunapenda sukari sana kwa sababu sukari ni yale mwili wetu unayotafuta na kula sukari inapunguza kazi ya mwili ya kuvunja kabohidrati kuwa sukari mwilini.
[[Kemia|Kikemia]] sukari ni aina ya [[kabohidrati]] yaani [[wanga]]. Tukila vitu vya wanga (kwa mfano [[ugali]], [[viazi]], [[mkate]]) mwili wetu huvunja [[molekyuli]] za wanga kuwa molekyuli ndogo zaidi za sukari. Hii ni sababu ya sisi kupenda sukari sana kwa sababu sukari ndiyo ile mwili wetu unayotafuta na kula sukari inapunguza kazi ya mwili ya kuvunja kabohidrati kuwa sukari mwilini.


==Sukari kikemia==
== Sukari kikemia ==
Wanakemia hujua aina mbalimbali za sukari. Sukari tunayotumia kama chakula huitwa [[sukrosi]] na fomula yake ni C<sub>12</sub>H<sub>22</sub>O<sub>11</sub>. Kuna pia sukari ndani ya [[matunda]] ambayo ni tofauti kikemia huitwa [[fruktosi]] (C<sub>6</sub>H<sub>12</sub>O<sub>6</sub>) inayosababisha utamu wa matunda.
Aina zote za sukari ni sehemu ya dutu zinazoitwa [[kabohidrati]]. Wanakemia hujua aina mbalimbali za sukari. Sukari tunayotumia kama chakula huitwa [[sukrosi]] na [[fomula]] yake ni C<sub>12</sub>H<sub>22</sub>O<sub>11</sub>. Kuna pia sukari ndani ya [[matunda]] ambayo ni tofauti kikemia huitwa [[fruktosi]] (C<sub>6</sub>H<sub>12</sub>O<sub>6</sub>) inayosababisha utamu wa matunda.


Sukari jinsi inavyopatikana dukani huvunjwa tena mwilini. Kemia hutofautisha sukari aina za [[monosakaridi]] na [[disakaridi]]. Disakaridi ni molyekuli kubwa zaidi inayounganisha monosakaridi mbili. Monosakaridi ni sukari ya kimsingi inayoingia kwenye damu mara moja kwa mfano fruktosi. Hii ni sababu ya kwamba wanamichezo hula vidonge vya fruktosi au [[deksitrosi]] wakihitaji kuongeza nguvu haraka.
Sukari jinsi inavyopatikana dukani huvunjwa tena mwilini. Kemia hutofautisha sukari aina za [[monosakaridi]] na [[disakaridi]]. Disakaridi ni molyekuli kubwa zaidi inayounganisha [[monosakaridi]] mbili. Monosakaridi ni sukari ya kimsingi inayoingia kwenye [[damu]] mara moja kwa mfano [[fruktosi]]. Hii ni sababu ya kwamba [[mwanamichezo|wanamichezo]] hula vidonge vya fruktosi au [[deksitrosi]] wakihitaji kuongeza [[nguvu]] haraka.


==Historia==
== Historia ==
[[Image:Cut sugarcane.jpg|250px|thumb|Miwa iliyokatwa]]
[[Picha:Cut sugarcane.jpg|250px|thumb|Miwa iliyokatwa.]]
=== Miwa na asali ===
Kabla ya kupatikana kwa sukari watu walitumia [[Tunda|matunda]] na hasa [[asali]] kwa kutia [[utamu]] kwenye vyakula vyao. [[Muwa|Miwa]] ililimwa katika [[Asia ya Kusini]] tangu miaka [[elfu]] kadhaa na maji matamu ya miwa yalitumiwa mahali pengi.


=== Sukari fuwele ya Wahindi ===
[[Uhindi|Wahindi]] walikuwa watu wa kwanza wanaojulikana kuwa walifaulu kuondoa [[fuwele]] za sukari kwenye [[maji]] ya miwa tangu mnamo [[mwaka]] [[350 KK]]. Kupatikana kwa sukari ya fuwele kulirahisisha [[biashara]] yake kwa sababu sukari katika umbo kavu haiozi na inawezekana kuibeba [[safari|safarini]].


Kutoka [[Uhindi]] sukari ilienea. Ilitengenezwa pia katika [[China]] na [[Mashariki ya Kati]]. Watu wa [[Mediteranea]] kama [[Waroma wa Kale]] walijua sukari kama [[dawa]] ghali sana iliyoigizwa kutoka Uhindi kwa njia ya [[meli]].
===Miwa na asali===
Kabla ya kupatikana kwa sukari watu walitumia matunda na hasa [[asali]] kwa kutia utamu kwenye vyakula vyao. Miwa ililimwa katika Asia ya kusini tangu miaka mielfu na maji matamu ya miwa ilitumiwa mahali pengi.


[[Kilimo]] cha miwa pamoja na kutengenezwa kwa sukari kilizidi kuenea katika [[ustaarabu]] wa [[Uislamu]] hadi [[Afrika ya Kaskazini]].
===Sukari fuwele ya Wahindi===
Wahindi walikuwa watu wa kwanza wanaojulikana kuwa walifauli kuondoa fuwele za sukari kwenye maji ya miwa tangu mwanmo mwaka 350 KK. Kupatikana kwa sukari ya fuwele kulirahisisha biashara yake kwa sababu sukari katika umbo kavu haiozi na inawezekana kuibeba safarini.


=== Ulaya, sukari na ukoloni ===
Kutoka Uhindi sukari ilienea. Ilitengenezwa pia katika [[China]] na [[Mashariki ya Kati]]. Watu wa [[Mediteranea]] kama [[Waroma wa Kale]] walijua sukari kama dawa ghali sana iliyoigizwa kutoka Uhindi kwa njia ya meli.
Watu wa [[Ulaya]] walipaswa kununua sukari kutoka kwa [[Waarabu]] hadi mnamo mwaka [[1500]] kwa sababu [[hali ya hewa]] ya Ulaya hairuhusu kilimo cha miwa. Uenezi wa [[Dola|milki]] za Ulaya katika nchi [[tropiki]] za [[Amerika ya Kati]] tangu [[Kolumbus]] kufikia [[Amerika]] uliwapa nafasi ya kuanzisha kilimo cha miwa. [[Hispania|Wahispania]] walianzisha [[shamba|mashamba]] ya miwa huko [[Kuba]] mwaka [[1523]], [[Ureno|Wareno]] walifuata [[Brazil]] mwaka [[1532]].


Kwa njia hiyo [[hamu]] ya sukari ilikuwa sababu muhimu ya uenezaji wa [[ukoloni]] pamoja na [[biashara ya watumwa]].
Kilimo cha miwa pamoja na kutengenezwa kwa sukari kilizidi kuenea katika ustaarabu wa Uislamu hadi Afrika ya Kaskazini.


Hata kama [[Koloni|makoloni]] ya [[Hispania]], [[Ureno]], [[Uingereza]], [[Uholanzi]], [[Ufaransa]] na [[Denmark]] yalitengeneza sukari, ilikuwa bado ghali kwa watu wa kawaida katika nchi baridi, hasa zile zisizokuwa na koloni.
===Ulaya, sukari na ukoloni===
[[Picha:SugarBeet.jpg|250px|thumb|Bitiruti ya sukari.]]
Watu wa Ulaya walipaswa kununua sukari kutoka kwa Waarabu hadi manmo mwaka 1500 kwa sababu hali ya hewa ya Ualya hairuhusu kilimo cha miwa. Uenezaji wa milki za Ulaya katika nchi tropiki za [[Amerika ya Kati]] tangu [[Kolumbus]] uliwapa nafasi ya kuanzisha kilimo cha miwa. Wahispania walianzisha mashamba ya miwa huko [[Kuba]] mwaka 1523, Wareno walifuata [[Brazil]] mwaka 1532.
[[Picha:Cuba canna da zucchero.jpg|250px|thumb|Shamba la sukari nchini Kuba.]]
=== Sukari ya bitiruti ===
Katika [[karne ya 18]] wanakemia [[Ujerumani|Wajerumani]] walianza kugundua sukari ndani ya [[Mmea|mimea]] ya nyumbani. [[Andreas Sigismund Marggraf]] alitambua sukrosi sawasawa na sukari ya miwa katika mimea mbalimbali ya kienyeji. [[Mwanafunzi]] wake [[Franz Carl Achard]] aliendelea kufanya majaribio akagundua nafasi kubwa ya [[bitiruti]] iliyolimwa kama chakula cha [[Mnyama|wanyama]]. Mwaka [[1802]] aliuza sukari ya kwanza kutoka bitiruti. Kwa kuteua mimea yenye sukari nyingi zaidi alizalisha aina mpya ya bitiruti ya sukari yenye kiwango cha [[asilimia]] 16-18 za sukari katika maji yake. Kiwango hicho ni kidogo kulingana na miwa lakini kimetosha kutengeneza sukari kwa wingi.


Kwa njia hiyo nchi za [[kaskazini]] zisizokuwa na koloni zilipata chanzo cha sukari kwa bei nafuu. Leo hii takriban 1/4 ya sukari yote duniani hutengenezwa kwa njia ya bitiruti. Kiwango kiliwahi kuwa kikubwa katika [[miaka ya 1960]] lakini kimepungua tena kutokana na mabadiliko ya bei.
Kwa njia hii hamu ya sukari ilikuwa sababu muhimu ya uenezaji wa [[ukoloni]] pamoja na [[biashara ya watumwa]].
Hata kama koloni za [[Hispania]], [[Ureno]], [[Uingereza]], [[Uholanzi]], [[Ufaransa]] na [[Denmark]] zilitengeneza sukari bado ilikuwa ghali kwa watu wa kawaida katika nchi baridi hasa katika nchi zisizokuwa na koloni.
[[Image:SugarBeet.jpg|250px|thumb|Bitiruti ya sukari]]
[[Image:Cuba canna da zucchero.jpg|250px|thumb|Shamba la sukari nchini Kuba]]
===Sukari ya bitiruti===
Katika karne ya 18 wanakemia Wajerumani walianza kugundua sukari ndani ya mimea ya nyumbani. [[Andreas Sigismund Marggraf]] alitambua sukrosi sawasawa na sukari ya miwa katika mimea mbalimbali ya kienyeji. Mwanafunzi wake [[Franz Carl Achard]] aliendelea kufanya majaribio akagundua nafasi kuwba ya bitiruti iliyolimwa kama chakula cha wanyama. Mwaka 1802 aliuza sukari ya kwanza kutoka bitiruti. Kwa kuteua mimea yenye sukari nyingi zaidi alizalisha aina mpya ya bitiruti ya sukari yenye kiwango cha asilimia 16-18 za sukari katika maji yake. Kiwango hiki ni kidogo kulingana na miwa lakini kimetosha kwa utengezeaji wa sukari kwa wingi.


== Uzalishaji wa sukari duniani ==
Kwa njia hii nchi za kaskazini zisizokuwa na koloni zilipata chanzo cha sukari kwa bei nafuu. Leo hii takriban 1/4 ya sukari yote duniani hutengenezwa kwa njia ya bitiruti. Kiwango kiliwahi kuwa kikubwa katika miaka ya 1960 lakini imepungua tena kutokana na mabadiliko ya bei.

==Uzalishaji wa sukari duniani==


{|
{|
Mstari 75: Mstari 72:
|}
|}


== Aina za sukari==
== Aina za sukari ==
* [[sukrosi]] (sukari ya kawaida)
* [[Sukrosi]] (sukari ya kawaida)
* [[glukosi]]
* [[Glukosi]]
* [[fruktosi]]
* [[Fruktosi]]
* [[galaktosi]]
* [[Galaktosi]]


==Tanbihi==
{{reflist}}


==Viungo vya Nje==
== Viungo vya Nje ==
{{commons|Sugar|sukari}}
{{commons|Sugar|sukari}}


[[Category:Chakula]]
[[Jamii:Chakula]]

[[af:Suiker]]
[[ar:سكر طعام]]
[[bat-smg:Sokros]]
[[be:Цукар]]
[[be-x-old:Цукар]]
[[bg:Захар]]
[[bn:চিনি]]
[[ca:Sucre]]
[[ce:Шекар]]
[[cv:Сахăр]]
[[cy:Siwgr]]
[[da:Sukker]]
[[de:Zucker]]
[[el:Ζάχαρη]]
[[en:Sugar]]
[[eo:Sukero]]
[[es:Azúcar]]
[[eu:Azukre]]
[[fi:Sokeri]]
[[fr:Sucre]]
[[gl:Azucre]]
[[gn:Eiratã]]
[[hr:Šećeri]]
[[hu:Cukor]]
[[id:Gula]]
[[io:Sukro]]
[[is:Matarsykur]]
[[it:Zucchero]]
[[ja:砂糖]]
[[jbo:sakta]]
[[jv:Gula]]
[[ka:შაქარი]]
[[ko:설탕]]
[[la:Saccharon]]
[[lt:Cukrus]]
[[mk:Шеќер]]
[[ms:Gula]]
[[nl:Tafelsuiker]]
[[nn:Sukker]]
[[no:Sukker]]
[[nrm:Chucre]]
[[oc:Sucre]]
[[pl:Cukier spożywczy]]
[[pt:Açúcar]]
[[qu:Asukar]]
[[ro:Zahăr]]
[[ru:Сахар]]
[[scn:Zùccaru]]
[[simple:Sugar]]
[[sk:Sacharid]]
[[sl:Sladkor]]
[[sq:Sheqeri]]
[[su:Gula]]
[[sv:Socker]]
[[ta:சீனி]]
[[th:น้ำตาล]]
[[tl:Asukal]]
[[tr:Kristal şeker]]
[[vec:Zsùcaro]]
[[wa:Souke]]
[[yi:צוקער]]
[[zh:砂糖]]
[[zh-min-nan:Thn̂g]]
[[zh-yue:糖]]

Toleo la sasa la 08:34, 9 Julai 2022

Aina nne za sukari.
Fuwele za sukari jinsi zinavyoonekana kwa hadubini.

Sukari (kutoka Kar. سكر‎ sukkar, iliyotoka kwenye Sanskrit sharkara) ni dutu tamu inayoungwa katika chakula na vinywaji kwa kusudi la kuzinogesha.

Sukari kama chakula

[hariri | hariri chanzo]

Sukari ya chakula inapatikana kwa umbo la fuwele zenye rangi nyeupe na aina za kahawia mbalimbali kutegemeana na kiwango cha kusafishwa wakati wa kuitengeneza. Sukari inayopatikana madukani imetengenezwa kutokana na miwa au bitiruti ya sukari.

Watu hutia sukari katika vyakula na vinywaji vingi.

Sukari hupokewa haraka na mwili na ni chanzo muhimu cha nishati. Wakati huohuo matumizi ya sukari nyingi huleta hatari ya ugonjwa wa kisukari na ugonjwa huo umeenea duniani tangu kupatikana kwa sukari kwa bei nafuu kutoka viwanda vikubwa. Hatari nyingine, inayotokana na kula sukari nyingi, ni kuoza kwa meno[1].

Kikemia sukari ni aina ya kabohidrati yaani wanga. Tukila vitu vya wanga (kwa mfano ugali, viazi, mkate) mwili wetu huvunja molekyuli za wanga kuwa molekyuli ndogo zaidi za sukari. Hii ni sababu ya sisi kupenda sukari sana kwa sababu sukari ndiyo ile mwili wetu unayotafuta na kula sukari inapunguza kazi ya mwili ya kuvunja kabohidrati kuwa sukari mwilini.

Sukari kikemia

[hariri | hariri chanzo]

Aina zote za sukari ni sehemu ya dutu zinazoitwa kabohidrati. Wanakemia hujua aina mbalimbali za sukari. Sukari tunayotumia kama chakula huitwa sukrosi na fomula yake ni C12H22O11. Kuna pia sukari ndani ya matunda ambayo ni tofauti kikemia huitwa fruktosi (C6H12O6) inayosababisha utamu wa matunda.

Sukari jinsi inavyopatikana dukani huvunjwa tena mwilini. Kemia hutofautisha sukari aina za monosakaridi na disakaridi. Disakaridi ni molyekuli kubwa zaidi inayounganisha monosakaridi mbili. Monosakaridi ni sukari ya kimsingi inayoingia kwenye damu mara moja kwa mfano fruktosi. Hii ni sababu ya kwamba wanamichezo hula vidonge vya fruktosi au deksitrosi wakihitaji kuongeza nguvu haraka.

Historia

[hariri | hariri chanzo]
Miwa iliyokatwa.

Miwa na asali

[hariri | hariri chanzo]

Kabla ya kupatikana kwa sukari watu walitumia matunda na hasa asali kwa kutia utamu kwenye vyakula vyao. Miwa ililimwa katika Asia ya Kusini tangu miaka elfu kadhaa na maji matamu ya miwa yalitumiwa mahali pengi.

Sukari fuwele ya Wahindi

[hariri | hariri chanzo]

Wahindi walikuwa watu wa kwanza wanaojulikana kuwa walifaulu kuondoa fuwele za sukari kwenye maji ya miwa tangu mnamo mwaka 350 KK. Kupatikana kwa sukari ya fuwele kulirahisisha biashara yake kwa sababu sukari katika umbo kavu haiozi na inawezekana kuibeba safarini.

Kutoka Uhindi sukari ilienea. Ilitengenezwa pia katika China na Mashariki ya Kati. Watu wa Mediteranea kama Waroma wa Kale walijua sukari kama dawa ghali sana iliyoigizwa kutoka Uhindi kwa njia ya meli.

Kilimo cha miwa pamoja na kutengenezwa kwa sukari kilizidi kuenea katika ustaarabu wa Uislamu hadi Afrika ya Kaskazini.

Ulaya, sukari na ukoloni

[hariri | hariri chanzo]

Watu wa Ulaya walipaswa kununua sukari kutoka kwa Waarabu hadi mnamo mwaka 1500 kwa sababu hali ya hewa ya Ulaya hairuhusu kilimo cha miwa. Uenezi wa milki za Ulaya katika nchi tropiki za Amerika ya Kati tangu Kolumbus kufikia Amerika uliwapa nafasi ya kuanzisha kilimo cha miwa. Wahispania walianzisha mashamba ya miwa huko Kuba mwaka 1523, Wareno walifuata Brazil mwaka 1532.

Kwa njia hiyo hamu ya sukari ilikuwa sababu muhimu ya uenezaji wa ukoloni pamoja na biashara ya watumwa.

Hata kama makoloni ya Hispania, Ureno, Uingereza, Uholanzi, Ufaransa na Denmark yalitengeneza sukari, ilikuwa bado ghali kwa watu wa kawaida katika nchi baridi, hasa zile zisizokuwa na koloni.

Bitiruti ya sukari.
Shamba la sukari nchini Kuba.

Sukari ya bitiruti

[hariri | hariri chanzo]

Katika karne ya 18 wanakemia Wajerumani walianza kugundua sukari ndani ya mimea ya nyumbani. Andreas Sigismund Marggraf alitambua sukrosi sawasawa na sukari ya miwa katika mimea mbalimbali ya kienyeji. Mwanafunzi wake Franz Carl Achard aliendelea kufanya majaribio akagundua nafasi kubwa ya bitiruti iliyolimwa kama chakula cha wanyama. Mwaka 1802 aliuza sukari ya kwanza kutoka bitiruti. Kwa kuteua mimea yenye sukari nyingi zaidi alizalisha aina mpya ya bitiruti ya sukari yenye kiwango cha asilimia 16-18 za sukari katika maji yake. Kiwango hicho ni kidogo kulingana na miwa lakini kimetosha kutengeneza sukari kwa wingi.

Kwa njia hiyo nchi za kaskazini zisizokuwa na koloni zilipata chanzo cha sukari kwa bei nafuu. Leo hii takriban 1/4 ya sukari yote duniani hutengenezwa kwa njia ya bitiruti. Kiwango kiliwahi kuwa kikubwa katika miaka ya 1960 lakini kimepungua tena kutokana na mabadiliko ya bei.

Uzalishaji wa sukari duniani

[hariri | hariri chanzo]
Nchi zilizozalisha sukari nyingi duniani mwaka 2003
 Nafasi  Nchi  Uzalishaji 
(t milioni)
 Nafasi  Nchi  Uzalishaji 
(t milioni)
   1 Brazil    24,8    9 Ujerumani    4,2
   2 Uhindi    22,1    10 Pakistan    4
   3 China    11,1    11 Kuba    3,8
   4 Marekani    8    12 Afrika Kusini    2,6
   5 Uthai    7,3    13 Kolumbia    2,6
   6 Australia    5,4    14 Ufilipino    2,1
   7 Mexiko    4,9    15 Indonesia    2,1
   8 Ufaransa    4,4    16 Poland    2

Aina za sukari

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: