Kreta ya Ngorongoro
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kasoko ya Ngorongoro)
Kreta ya Ngorongoro ni kreta kubwa inayopatikana katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.
Iko mita 1,700 juu ya usawa wa bahari.
Ni kiini cha Hifadhi ya Ngorongoro, ambayo kwa umuhimu wake imeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa urithi wa dunia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya volkeno nchini Tanzania
- Orodha ya milima ya mkoa wa Arusha
- Orodha ya milima ya Tanzania
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kreta ya Ngorongoro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |