[go: nahoru, domu]

Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Oktoba ni siku ya 284 ya mwaka (ya 285 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 81.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Yohane XXIII, Filipo mwinjilisti, Tarako, Probo na Androniko, Nikasi, Kwirini na wenzao, Santino wa Verdun, Sarmata, Firmino wa Uzes, Kaniko abati, Anastasi balozi, Gumari, Bruno wa Koln, Radim, Meinardi, Aleksanda Sauli, Petro Le Tuy, Maria Desolata n.k.

Viungo vya nje

hariri
WikiMedia Commons 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 11 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.