20 Desemba
tarehe
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Desemba ni siku ya 354 ya mwaka (ya 355 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 11.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1676 - Mtakatifu Leonardo wa Portomaurizio, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1841 - Ferdinand Buisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927
- 1890 - Jaroslav Heyrovsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959
- 1972 - Marc Silk, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1968 - John Steinbeck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1962
- 1998 - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 2009 - Brittany Murphy, mwigizaji na mwimbaji kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Zefirino, Liberali wa Roma, Filogoni wa Antiokia, Dominiko wa Silos, Vinsenti Romano n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |