[go: nahoru, domu]

Batna ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa nne nchini kwa wingi wa wakazi.

Batna, Algeria
Sehemu ya mji wa Batna, Algeria

Hao walihesabiwa kuwa 290,645 mwaka 2008[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Batna, Algeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.