[go: nahoru, domu]


Bursa ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye kanda ya Bahari ya Marmara. Mikoa inayopakana na hapa ni pamoja na Balıkesir kwa upande wa magharibi, Kütahya kwa kupande wa kusini, Bilecik na Sakarya kwa upande wa mashariki, Kocaeli kwa upande wa kaskazini-mashariki na Yalova kwa upande wa kaskazini. Mkoa una eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,043 na jumla ya wakazi wapatao 2,413,971 wanaoishi mkoani hapa (makadirio ya 2006).

Mkoa wa Bursa
Maeneo ya Mkoa wa Bursa nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 11,043 (km²)
Idadi ya Wakazi 3.000.021 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 16
Kodi ya eneo: 0224
Tovuti ya Gavana http://www.bursa.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bursa

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Bursa umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.