Miss Universe Tanzania
Miss Universe Tanzania ni shindano la urembo lililofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2007. Ni shindano la kitaifa la kuchagua mwakilishi wa shindano la Miss Universe.[1][2]
Mshindi wa kwanza alikuwa Flaviana Matata.
Historia
haririMkurugenzi mkuu wa hayo mashindano ni Maria Sarungi Tsehai ambae pia ni mwanaharakati. Mashindano ya kwanza ya Miss Universe Tanzania ilifanyika mwaka 2007 jijini Dar-es-Salaam.
Mshindi wa kwanza likuwa Flaviana Matata, ambae alishiriki katika mashindano la kimataifa, Miss Universe mwaka 2007. Flaviana alitengeneza historia kwa kuwa mshiriki wa kwanza kabisa kataika hayo mashindo kushiriki na upara [3]
Washindi wa taji la Miss Universe Tanzania
hariri- : Mshindi wa Miss Universe
- : Katajwa katika tano bora
- : Katajwa katika 10 au 20 bora
- : Katajwa kama mshindi wa tuzo fulani
- Mshindi wa Miss Universe Tanzania anashiriki nchi yake katika shindano la Miss Universe. Kama mshindi akishindwa kushiriki mshindi wa pili anachaguliwa kama Miss Universe Tanzania
Mwaka | Mkoa | Miss Universe Tanzania | Matokeo katika shindano la Miss Universe | Tuzo maalum | Notes |
---|---|---|---|---|---|
2019 | Morogoro | Shubila Stanton[4] | Unplaced | ||
2018| colspan=5 style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Did not compete | |||||
2017 | Dar es Salaam | Lilian Maraule[5] | Unplaced | ||
2016 | Dodoma | Jihan Dimachk[6] | Unplaced | ||
2015 | Dar es Salaam | Lorraine Marriot | Unplaced | ||
2014 | Dodoma | Nale Boniface[7] | Unplaced | ||
Dar es Salaam | colspan=2 style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Did not compete | Withdrawal — Getting accident, a Runner-up, Nale Boniface took over to represent Tanzania at Miss Universe 2014 in the United States. | |||
2013 | Dar es Salaam | Betty Boniphace | Unplaced | ||
2012 | Dar es Salaam | Winfrida Dominic[8] | Unplaced | ||
2011 | Dar es Salaam | Nelly Kamwelu | Unplaced |
|
|
2010 | Arusha | Nuya Hellen Dausen | Unplaced | ||
2009 | Mwanza | Illuminata James Wize | Unplaced | ||
2008 | Arusha | Amanda Ole Sululu | Unplaced | ||
2007 | Dar es Salaam | Flaviana Matata | Top 10 | Maria Sarungi Tsehai Directorship — Flaviana named as the Top sexiest Women by Globalbeauties 2007. |
Marejeo
hariri- ↑ "Shubila Stanton crowned Miss Universe Tanzania 2019". The Times of India. Oktoba 14, 2019. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Lilian Ericaah Maraule crowned Miss Universe Tanzania 2017". The Times of India. Novemba 1, 2017. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jihan Dimachk is Miss Universe Tanzania 2016". The Great Pageant Community. 26 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Shubila Stanton crowned Miss Universe Tanzania 2019". The Times of India. Oktoba 14, 2019. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Lilian Ericaah Maraule crowned Miss Universe Tanzania 2017". The Times of India. Novemba 1, 2017. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jihan Dimachk is Miss Universe Tanzania 2016". The Great Pageant Community. 26 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 7.0 7.1 "Ajali yamzuia Miss Universe TZ kushiriki mashindano ya kimataifa, nafasi yake yachukuliwa na mshindi wa 2". Bongo5. Desemba 24, 2014. Iliwekwa mnamo Mei 23, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Winfrida Crowned Miss Universe", allAfrica, 1 July 2012.