Orléans
Orléans ni mji wa Ufaransa. Iko mwambaoni wa mto Loire 130 km kusini ya Paris. Orléans ni makao makuu ya wilaya (kifaransa: departement) ya Loiret katika Mkoa wa Centre. Mji una chuo kikuu ni pia makao ya dayosisi ya Orleans yenye kanisa kuu la kihistoria lenye sifa kubwa za kisanii lililojengwa 1278 hadi 1329. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 355,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 300-410 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Orléans | |||
| |||
Mahali pa mji wa Orléans katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 47°54′9″N 1°54′32″E / 47.90250°N 1.90889°E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Centre | ||
Wilaya | Loiret | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 113,130 | ||
Tovuti: www.orleans.fr |
Historia
haririJina la Orleans limejulikana hasa pamoja na habari za Jeanne d'Arc aliyeitwa pia Bikira wa Orleans kwa sababu aliongoza jeshi la kifaransa lililoshinda Waingereza waliotaka kuteka mji mnamo mwaka 1429 katika Vita ya miaka 100.
Jiografia
haririOrléans ina wakazi 113.126 (mwaka wa 1999).
Viungo vya nje
haririOrléans travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orléans kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |