UFM
Union for the Mediterranean (kifupisho: UFM) ni kambi ya biashara kati ya nchi 43 za Mediteranea ambako Umoja wa Ulaya na jumuia ya Nchi za Kiarabu (ambapo wabunge wa Somalia na Jibuti wanawakilishwa) pia ni wajumbe.
Faili:Union for the Mediterranean Logo.png | |
Union for the Mediterranean member states
Member states of the European Union Other members Suspended members Observers | |
Limeanzishwa | 13 July 2008 |
---|---|
Region served | Mediterranean |
Membership | 43 states
1 observer
|
Official language | Arabic, English, French |
Secretary General | Nasser Kamel |
Makao makuu yako Barcelona, Hispania.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu UFM kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |