Albania : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: frr:Albaanien |
No edit summary |
||
(marekebisho 35 ya kati na watumizi wengine 17 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 4:
|common_name = Albania
|image_flag = Flag of Albania.svg
|image_coat =
|image_map = LocationAlbania.png
|national_anthem = ''[[Hymni i Flamurit]]''<br />("Wimbo kwa bendera")
Mstari 15:
|leader_titles = [[Rais wa Albania|Rais]] <br /> [[Waziri Mkuu wa Albania|Waziri Mkuu]]
|leader_title2 =
|leader_names = [[
|area_rank = ya 139
|area_magnitude = 1 E10
Mstari 21:
|areami² = 11,100 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = 4.7%
|population_estimate =
|population_estimate_year =
|population_estimate_rank = ya
|population_census =
|population_census_year =
|population_density =
|population_densitymi² = 318.6 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = 63
Mstari 54:
}}
'''Jamhuri ya Albania''' ni nchi ya [[Ulaya]] [[Kusini]] [[Mashariki]]. Imepakana na [[Montenegro]], [[Kosovo]], [[
Albania ni kati ya [[nchi zinazoendelea]] na imeomba kujiunga na [[Umoja wa Ulaya]].
[[Mji mkuu]] ni [[Tirana]] (wakazi 418,495).
==Historia==
===Historia ya kale===
Albania ilikaliwa na [[Kabila|makabila]] mbalimbali ya [[iliriko|Wailiriko]], [[Wathraki]] na ya [[Wagiriki]].
Katika [[karne ya 3 KK]] eneo lilitekwa na [[Dola la Roma]] na kufanywa sehemu ya [[majimbo]] ya [[Dalmatia]], [[Masedonia]] na [[Iliriko]].
===[[Karne za Kati]]===
[[Mwaka]] [[1190]] ndani ya [[Dola la Roma Mashariki]] ulitokea [[ufalme]] mdogo wa Arbër kwa juhudi za archon Progon huko Krujë.
Mwishoni mwa [[karne ya 13]] [[Charles wa Anjou]] aliwanyang'anya [[Bizanti|Wabizanti]] eneo hilo na kuanzisha [[Ufalme wa Albania]] kutoka [[Durrës]] hadi [[Butrint]].
Katikati ya [[karne ya 15]] nchi ilitekwa na [[Waosmani]].
===Historia ya kisasa===
Albania ya sasa ilitokea mwaka [[1912]], baada ya Waosmani kushindwa katika [[vita vya Balkani]].
Ufalme wa Albania ulitekwa na [[Italia]] ya [[Benito Mussolini]] mwaka [[1939]] hadi [[1943]], ulipowekwa na [[Ujerumani]] wa [[Adolf Hitler]] chini yake.
Baada ya nchi hizo mbili kushindwa [[Vita|vitani]], nchi ikaongozwa na [[Enver Hoxha]] ikijitenga zaidi na zaidi na [[dunia]] nzima.
Kati ya miaka [[1945]] na [[1990]] ilipotawaliwa na [[chama cha Kikomunisti]] Albania ilitangaza kuwa nchi ya kwanza ya [[ukanaji Mungu|kiatheisti]] na kupiga [[marufuku]] kila aina ya [[dini]].
Kutokana na [[mapinduzi]] ya mwaka [[1991]] [[Usoshalisti|Jamhuri ya Kisoshalisti]] iliiachia nafasi [[jamhuri]] ya nne.
Kwa sasa Albania ni kati ya [[nchi maskini]] zaidi za Ulaya na wananchi wengi (walau 900,000) wamehamia Ugiriki, Italia, [[Marekani]] n.k.
==Watu==
Wamebaki wakazi 2,876,591 ([[2017]]). Zaidi ya 98% za wakazi hutumia [[lahaja]] za [[Kialbania]] ambacho ni [[lugha]] ya pekee kati ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lakini wengi wanazungumza pia [[Kigiriki]] au lugha nyingine.
Kati ya miaka [[1945]] na [[1990]] ilitawaliwa na [[chama cha Kikomunisti]] iliyotangaza Albania kuwa nchi ya kwanza ya [[ukanaji Mungu|kiatheisti]] iliyopiga [[marufuku]] kila aina ya [[dini]]. Hata hivyo, baada ya [[uhuru]] kupatikana tena, 39% za wakazi anajali sana [[imani]] fulani. Katika [[sensa]] ya mwaka [[2011]], 58.79% walijitambulisha kama [[Waislamu]] (hasa [[Wasuni]]) na 17.06% [[Wakristo]] (wakiwemo 10.03% [[Wakatoliki]] na 6.75% [[Waorthodoksi]]). Wakanamungu walikuwa 2.5% tu.
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}
{{Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Albania]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya]]
[[Jamii:Balkani]]
|