[go: nahoru, domu]

Albania

Pitio kulingana na tarehe 16:09, 11 Julai 2011 na AvicBot (majadiliano | michango) (r2.6.5) (roboti Badiliko: sa:अल्बेनिया)


Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Kosovo, Jamhuri ya Masedonia na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani la ghuba ya Adria ya Mediteranea.

Republika e Shqipërisë
Jamhuri ya Albania
Bendera ya Albania Nembo ya Albania
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Feja e Shqiptarit eshte Shqiptaria (Kialbania: "Imani wa Walbania ni Ualbania")
Wimbo wa taifa: Hymni i Flamurit
("Wimbo kwa bendera")
Lokeshen ya Albania
Mji mkuu Tirana
41°20′ N 19°48′ E
Mji mkubwa nchini Tirana
Lugha rasmi Kialbania
Serikali demokrasia
Alfred Moisiu
Sali Berisha
Uhuru
Tarehe

28 Novemba 1912
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
28 748 km² (ya 139)
4.7%
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
3,581,655 (ya 134)
123/km²/km² (63)
Fedha Lek (ALL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .al
Kodi ya simu +355

-


Kuna wakazi milioni nne. Mji mkuu ni Tirana. Zaidi ya 90% za wakazi hutumia lahaja za Kialbania ambacho ni lugha ya pekee kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Albania ni kati ya nchi maskini zaidi za Ulaya. Kati 1945 hadi 1990 ilitawaliwa na chama cha kikomunisti iliyotangaza Albania kuwa nchi ya kwanza ya kiatheisti iliyopiga marufuku kila aina ya dini.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Albania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

ak:Albania