Moses Kulola : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8 |
||
(marekebisho 18 ya kati na watumizi wengine 9 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
'''Moses Kulola''' (Juni [[1928]] - Agosti [[2013]]) alikuwa kiongozi wa Kikristo nchini [[Tanzania]] na tangu mwaka [[1991]] [[askofu]] wa EAGT (''Evangelistic Assemblies of God Tanzania'').<ref>tanzaniagospel.blogspot.com</ref>
==Maisha==
Pia historia hii inapatikana katika Blog ya [http://tanzaniagospel.blogspot.com/ Tanzania Gospel Network] {{Wayback|url=http://tanzaniagospel.blogspot.com/ |date=20130517045044 }}
Moses Kulola alizaliwa mwezi Juni 1928 katika [[familia]] ya watoto kumi, watano kati yao wakiwa bado hai mwaka 2013.
Alisajiliwa kwanza katika [[shule]] ya [[misheni]] iitwayo Ligsha Sukuma mwaka 1939, halafu alijiunga na [[taasisi]] ya [[usanifu]] mwaka [[1949]].
[[Ubatizo|Alibatizwa]] mwaka [[1950]] katika [[Kanisa la AIC]] Makongoro.
Alimwoa Elizabeth na kuzaliana naye watoto 10 ambapo saba walikuwa bado hai alipofariki.
Alianza kazi za [[umisionari]] mwaka 1950 mara tu baada ya kubatizwa, ijapokuwa aliitwa mwaka 1949.
Sikuacha elimu pale tu, nilijiendelea na masomo mbalimbali ambapo nilitunukiwa vyeti mbalimbali katika mataifa mbalimbali.▼
Mwaka [[1959]] alianza kufanya [[kazi]] [[serikali]]ni, wakati huohuo akihubiri [[Injili]] katika miji na vijiji.
Nilihudumu kikazi kwa miaka miwili kama Mchungaji kabla ya kuwa mpentekoste mnamo 1961-1962, nilifanya kazi katika kanisa la TAG 1966 mpaka 1991 ambapo nikaamua kuanzishaa makanisa Evangelistic Assemblies God (EAGT), ambapo yalifanikiwa kukua kwa kasi kubwa katika nchi za Tanzania, Zambia , Malawi na kwa ujumla tuna makanisa yapatayo 4000 katika jinsi mbalimbali yakiwemo makubwa na madogo▼
Utumishi wake mkubwa kwa nchi ulifikia mwisho mwaka [[1962]], ambapo aliamua kujitolea moja kwa moja [[nguvu]] zake, [[mwili]] na [[nafsi]].
Mwaka [[1964]] alijiunga na chuo cha [[teolojia]] na [[1966]] alitunukiwa [[stashahada]].
Mchakato wa kuongoza makanisa elfu nne si rahisi na kwamba kumefanyika mgawanyiko wa majimbo 34 ya kazi na kanda tano kwa ajili ya kurahisisha kazi na kila kanda na jimbo lina mwangalizi wake.▼
▲
Alihudumu kikazi kwa miaka miwili kama [[Mchungaji]] kabla ya kuwa [[Mpentekoste]] mnamo [[1961]]-[[1962]].
▲
[[Askofu Msaidizi]] wake alikuwa Mwaisabila.
▲
Alifariki mwano Agosti 2013 na kuzikwa mjini [[Mwanza]] katika kanisa linalogombaniwa na TAG na EAGT.
==Viungo vya nje==
* '''''(en)''''' [http://tanzaniagospel.blogspot.com/2012/07/history-of-bishop-kulola-historia-ya.html Askofu Kulola asimulia maisha yake kwenye blogu ya Tanzania Gospel] {{Wayback|url=http://tanzaniagospel.blogspot.com/2012/07/history-of-bishop-kulola-historia-ya.html |date=20160305125254 }}
==Tanbihi==
<references/>
{{DEFAULTSORT:Kulola, Moses}}
[[Jamii:Watu wa Tanzania]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1928]]
[[Jamii:Waliofariki 2013]]
|