[go: nahoru, domu]

Moses Kulola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
(marekebisho 16 ya kati na watumizi wengine 9 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
'''Moses Kulola''' (Juni [[1928]] - Agosti [[2013]]) alikuwa kiongozi wa Kikristo nchini [[Tanzania]] na tangu mwaka [[1991]] [[askofu]] wa EAGT (''Evangelistic Assemblies of God Tanzania'').<ref>tanzaniagospel.blogspot.com</ref>
{{umbo}}
===== ASKOFU KULOLA =====
== Maandishi ya kichwa ==
[http://maelezo%20zaidi tanzaniagospelblogspot.com]
Moses Kulola asimulia historia yake
 
==Maisha==
Moses Kulola, alizaliwa mwezi Juni 1928, katika familia ya watoto kumi, na watano kati yao bado ni hai. nilisajiliwa katika shule yangu ya kwanza mwaka 1939 iitwayo Ligsha Sukuma shule ya misheni baada ya Ligsha, nilijiunga na taasisi ya usanifu mwaka 1949. Nilibatizwa mwaka 1950 katika Kanisa la AIC Makongoro.
Pia historia hii inapatikana katika Blog ya [http://tanzaniagospel.blogspot.com/ Tanzania Gospel Network] {{Wayback|url=http://tanzaniagospel.blogspot.com/ |date=20130517045044 }}
 
Moses Kulola alizaliwa mwezi Juni 1928 katika [[familia]] ya watoto kumi, watano kati yao wakiwa bado hai mwaka 2013.
Nilimwoa Elizabeth na nina watoto10 ambapo saba bado hai.Nilianza kazi za kimisionari mwaka1950 japokuwa niliitwa mwaka 1949 mara tu baada ya kubatizwa.
 
Alisajiliwa kwanza katika [[shule]] ya [[misheni]] iitwayo Ligsha Sukuma mwaka 1939, halafu alijiunga na [[taasisi]] ya [[usanifu]] mwaka [[1949]].
 
[[Ubatizo|Alibatizwa]] mwaka [[1950]] katika [[Kanisa la AIC]] Makongoro.
Mwaka 1959 nilianza kufanya kazi serikalini, wakati huo huo nikihubiri Injili katika miji na vijiji. Utumishi wangu mkubwa kwa nchi ulifika mwisho mwaka 1962, ambapo niliamua kujitolea moja kwa moja nguvu zangu, mwili na nafsi. Mwaka 1964 nilijiunga na chuo cha kiteolojia na 1966 nilitunukiwa stashahada.
 
Alimwoa Elizabeth na kuzaliana naye watoto 10 ambapo saba walikuwa bado hai alipofariki.
 
Alianza kazi za [[umisionari]] mwaka 1950 mara tu baada ya kubatizwa, ijapokuwa aliitwa mwaka 1949.
Sikuacha elimu pale tu, nilijiendelea na masomo mbalimbali ambapo nilitunukiwa vyeti mbalimbali katika mataifa mbalimbali.
 
Mwaka [[1959]] alianza kufanya [[kazi]] [[serikali]]ni, wakati huohuo akihubiri [[Injili]] katika miji na vijiji.
Nilihudumu kikazi kwa miaka miwili kama Mchungaji kabla ya kuwa mpentekoste mnamo 1961-1962, nilifanya kazi katika kanisa la TAG 1966 mpaka 1991 ambapo nikaamua kuanzishaa makanisa Evangelistic Assemblies God (EAGT), ambapo yalifanikiwa kukua kwa kasi kubwa katika nchi za Tanzania, Zambia , Malawi na kwa ujumla tuna makanisa yapatayo 4000 katika jinsi mbalimbali yakiwemo makubwa na madogo
 
Utumishi wake mkubwa kwa nchi ulifikia mwisho mwaka [[1962]], ambapo aliamua kujitolea moja kwa moja [[nguvu]] zake, [[mwili]] na [[nafsi]].
Askofu Moses Kulola anayeongoza makanisa elfu nne, Askofu Msaidizi wake ni Mwaisabila.
 
Mwaka [[1964]] alijiunga na chuo cha [[teolojia]] na [[1966]] alitunukiwa [[stashahada]].
Mchakato wa kuongoza makanisa elfu nne si rahisi na kwamba kumefanyika mgawanyiko wa majimbo 34 ya kazi na kanda tano kwa ajili ya kurahisisha kazi na kila kanda na jimbo lina mwangalizi wake.
 
Sikuacha elimu pale tu, nilijiendeleaAlijiendelea na masomo mbalimbali ambapo nilitunukiwaalitunukiwa vyeti mbalimbali katika mataifa mbalimbali.
(maelezo na picha http://sayuni.blogspot.com , imetafsiriwa na tanzaniagospel.blogspot.com)
 
Alihudumu kikazi kwa miaka miwili kama [[Mchungaji]] kabla ya kuwa [[Mpentekoste]] mnamo [[1961]]-[[1962]].
 
Nilihudumu kikazi kwa miaka miwili kama Mchungaji kabla ya kuwa mpentekoste mnamo 1961-1962, nilifanyaAlifanya kazi katika [[kanisa la TAG]] tangu mwaka [[1966]] mpaka [[1991]] ambapo nikaamuaaliamua kuanzishaakuanzisha makanisa[[kanisa la Evangelistic Assemblies God]] (EAGT), ambapoambalo yalifanikiwalilifanikiwa kukua kwa kasi kubwa katika nchi za Tanzania, [[Zambia ]], [[Malawi]] na kwa ujumlajumla tunalina makanisa yapatayo 4000 katika jinsi mbalimbali yakiwemo makubwa na madogo.
 
[[Askofu Msaidizi]] wake alikuwa Mwaisabila.
 
Mchakato wa kuongoza makanisa elfu nne si rahisi na kwamba kumefanyikaKumefanyika mgawanyiko wa majimboma[[jimbo]] 34 ya kazi na kanda tano kwa ajili ya kurahisisha kazi na, kila kanda na jimbo linalikiwa na mwangalizi wake.
 
Alifariki mwano Agosti 2013 na kuzikwa mjini [[Mwanza]] katika kanisa linalogombaniwa na TAG na EAGT.
 
==Viungo vya nje==
* '''''(en)''''' [http://tanzaniagospel.blogspot.com/2012/07/history-of-bishop-kulola-historia-ya.html Askofu Kulola asimulia maisha yake kwenye blogu ya Tanzania Gospel] {{Wayback|url=http://tanzaniagospel.blogspot.com/2012/07/history-of-bishop-kulola-historia-ya.html |date=20160305125254 }}
 
==Tanbihi==
<references/>
 
{{DEFAULTSORT:Kulola, Moses}}
[[Jamii:WakristoWatu wa Tanzania]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1928]]
[[Jamii:Waliofariki 2013]]