[go: nahoru, domu]

Mtaalamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kufuta broken external link
No edit summary
 
(marekebisho 2 ya kati na watumizi wengine 2 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 4:
Mtaalamu anaaminika katika [[fani]] yake kama chanzo cha [[ujuzi]] au [[maarifa]].
 
Utaalamu huo unaweza kutegemea [[elimu]], lakini pengine pia [[malezi]], [[ufundi]], [[maandishi]] au [[mang'amuzi]] yake.
 
Kihistoria, mtaalamu aliweza kuitwa ''mzee wa hekima''.
 
Mtu huyo kwa kawaida alikuwa na [[uwezo]] mkubwa upande wa [[akili]] pamoja na [[busara]] katika maamuzi.<ref>[http://www.thefreedictionary.com/wise+man Wise man]</ref>
 
Mfano; mtaalamu wa [[lugha]] za alama, mtaalamu wa kuchora [[picha]], mtaalamu wa kutunga mashairi ya [[Wimbo|nyimbo]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==