[go: nahoru, domu]

Mtaalamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''mtaalamu''' mara nyingi humaanisha mtu ambaye ni bingwa katika taaluma fulani. * Mtaalamu (cheo), cheo cha kijeshi * Utaalamu (madawa) * "Mtaalamu"...'
 
No edit summary
 
(marekebisho 7 ya kati na watumizi wengine 4 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1:
[[File:Koelner Dom - Bayernfenster 10.jpg|thumb|250px|[[Mamajusi|Wataalamu watatu wa nyota]] katika [[Injili ya Mathayo]], [[kanisa kuu]] la [[Cologne]], [[Ujerumani]].]]
'''mtaalamuMtaalamu''' (kutoka neno la [[Kiarabu]] lenye mzizi mmoja na neno 'elimu') mara nyingi humaanisha [[mtu]] ambaye ni [[bingwa]] katika [[taaluma]] fulani.
 
Mtaalamu anaaminika katika [[fani]] yake kama chanzo cha [[ujuzi]] au [[maarifa]].
 
Utaalamu huo unaweza kutegemea [[elimu]], lakini pengine pia [[malezi]], [[ufundi]], [[maandishi]] au mang'amuzi yake.
* [[Mtaalamu (cheo)]], cheo cha kijeshi
 
* [[Utaalamu (madawa)]]
Kihistoria, mtaalamu aliweza kuitwa ''mzee wa hekima''.
* "Mtaalamu", nyimbo iliyoimbwa na kundi la [[Interpol (band)|Interpol]]
 
Mtu huyo kwa kawaida alikuwa na [[uwezo]] mkubwa upande wa [[akili]] pamoja na [[busara]] katika maamuzi.<ref>[http://www.thefreedictionary.com/wise+man Wise man]</ref>
 
Mfano; mtaalamu wa [[lugha]] za alama, mtaalamu wa kuchora [[picha]], mtaalamu wa kutunga mashairi ya [[Wimbo|nyimbo]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.witness.net The Expert Witness Network]
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Elimu]]
[[Category:Elimu jamii]]