Mtaalamu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
(marekebisho 6 ya kati na watumizi wengine 3 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[File:Koelner Dom - Bayernfenster 10.jpg|thumb|250px|[[Mamajusi|Wataalamu watatu wa nyota]] katika [[Injili ya Mathayo]], [[kanisa kuu]] la [[Cologne]], [[Ujerumani]].]]
'''Mtaalamu''' (kutoka neno la [[Kiarabu]] lenye mzizi mmoja na neno 'elimu') mara nyingi humaanisha [[mtu]] ambaye ni [[bingwa]] katika [[taaluma]] fulani.
Mtaalamu anaaminika katika [[fani]] yake kama chanzo cha [[ujuzi]] au [[maarifa]].
Utaalamu huo unaweza kutegemea [[elimu]], lakini pengine pia [[malezi]], [[ufundi]], [[maandishi]] au mang'amuzi yake.
Kihistoria, mtaalamu aliweza kuitwa ''mzee wa hekima''.
Mtu huyo kwa kawaida alikuwa na [[uwezo]] mkubwa upande wa [[akili]] pamoja na [[busara]] katika maamuzi.<ref>[http://www.thefreedictionary.com/wise+man Wise man]</ref>
Mfano; mtaalamu wa [[lugha]] za alama, mtaalamu wa kuchora [[picha]], mtaalamu wa kutunga mashairi ya [[Wimbo|nyimbo]].
==Tanbihi==
{{reflist}}
==Viungo vya nje==
*[http://www.witness.net The Expert Witness Network]
{{mbegu}}
[[Jamii:Elimu]]
[[Category:Elimu jamii]]
|