[go: nahoru, domu]

Papa Yohane XXIII

Mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka 1958 hadi 1963
Pitio kulingana na tarehe 10:37, 24 Oktoba 2011 na Rubinbot (majadiliano | michango) (r2.5.4) (roboti Badiliko: tr:XXIII. Ioannes)

Papa Yohane XXIII (25 Novemba, 18813 Juni, 1963) alikuwa Papa kuanzia 28 Oktoba, 1958 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Pius XII akafuatwa na Papa Paulo VI.

Faili:John23leo.jpg
Papa Yohane XXIII

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Angelo Giuseppe Roncalli. Watu walipenda kumuita "Papa mwema".

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Septemba 2000.

Umuhimu wa Papa huyu ni kwamba aliitisha Mtaguso wa pili wa Vatikano (1962-1965) ambao ulikutanisha maaskofu wote wa Kanisa Katoliki na kuleta matengenezo mbalimbali ndani ya kanisa hilo.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Kigezo:Link FA