[go: nahoru, domu]

Huduma za Google Play za AR

3.6
Maoni elfu 657
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Huduma za Google Play za AR husakinishwa na kusasishwa kiotomatiki kwenye vifaa vinavyoweza kutumika. Huduma hii huwezesha uhalisia ulioboreshwa (AR) wenye muundo wa ARCore. Masasisho ya kiotomatiki huhakikisha kuwa programu zilizo na kipengele cha uhalisia ulioboreshwa zinafanya kazi bila kuhitaji kipakuliwa cha ziada.

Hapo awali huduma hii ilijulikana kama ARCore. Sakinisha huduma hii ili upate njia mpya za kununua, kujifunza, kuunda na kufurahia ulimwengu kwa pamoja.


https://developers.google.com/ar/arcore_open_source_licenses

Kwa kutumia huduma hii unakubali kufuata Sheria na Masharti ya Google (Sheria na Masharti ya Google,
https://www.google.com/accounts/TOS) na Sera ya Faragha ya jumla ya Google
(https://www.google.com/intl/en/policies/privacy/). Huduma hii ni Huduma kama inavyofafanuliwa katika
Sheria na Masharti ya Google na matumizi yako ya huduma hii yako chini ya masharti yanayohusu programu katika Huduma zetu.
Ilisasishwa tarehe
12 Jun 2024

Usalama wa data

Huduma za Google Play za AR hujumuishwa kwenye kifaa chako ili kutoa huduma za mfumo. Ili upate maelezo zaidi, angalia sera ya faragha na tovuti ya msanidi programu.

Ukadiriaji na maoni

3.7
Maoni elfu 647

Mapya

Huduma za Google Play za AR husakinishwa na kusasishwa kiotomatiki kwenye vifaa vinavyotimiza vigezo ili programu kwenye Duka la Google Play zenye kipengele cha AR zifanye kazi bila kuhitaji kupakua wala kusakinisha chochote kingine.

Mapya katika toleo hili:
• Orodha ya vifaa vinavyoweza kutumika imesasishwa.