alama
Kiswahili[hariri]
Nomino[hariri]
alama[hariri]
- mchoro au kitu cha kutambulisha kitu; ishara, athari, kielezo pia
alama ya cheo- kitu kinachoonyesha cheo cha mtu kama vile beji, tepe na kadhalika
alama za barabarani- ishara au michoro ya usalama ya barabarani
alama[hariri]
(sarufi) (katika uakifishaji)alama ya kuulizaalama katika maandishi(?) inayoashiria swali; alama ya mshangao alama katika maandishi(!) inayoashiria kushangaa; alama ya dukuduku alama katika maandishi(...) inayoashiria taharuki, msomaji ajalie mwenyewe au neno au maneno yameachwa, na kadhalika
$ {{infl|sw|nomino]]$