2 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Februari ni siku ya thelathini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 332 (333 katika miaka mirefu).
Matukio
- 1831 - Uchaguzi wa Papa Gregori XVI
- 1990 - Rais F.W. de Klerk atangaza ya kuwa ANC si marufuku tena nchini Afrika Kusini
Waliozaliwa
- 1649 - Papa Benedikt XIII
- 1800 - John Edward Gray, mtaalamu wa zoolojia kutoka Uingereza
- 1882 - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire
- 1886 - William Rose Benét, mshairi kutoka Marekani
- 1946 - Blake Clark, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1947 - Farrah Fawcett
- 1977 - Shakira
- 1985 - Dennis Oliech, mchezaji mpira kutoka Kenya
Waliofariki
- 1769 - Papa Klementi XIII
- 1970 - Bertrand Russell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1950
- 1980 - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1995 - Donald Pleasence, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtoto Yesu kutolewa hekaluni siku arubaini baada ya kuzaliwa; pia huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Floskolo wa Orleans, Laurenti wa Canterbury, Burkado wa Wurzburg, Katerina wa Ricci, Yoana wa Lestonnac, Nikola wa Longobardi, Yohane Theofani Venard, Fransisko Coll, Maria Katharina Kasper, Maria Dominika Mantovani n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day Archived 24 Februari 2007 at the Wayback Machine.
- On This Day in Canada[dead link]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |