Mbweni, Zanzibar
Mandhari
Mbweni ni mji unaopatikana kisiwani Unguja, Zanzibari nchini Tanzania. Inapatikana pwani ya kati magharibi, kilomta saba kusini mwa mji mkuu na mkongwe wa zanzibari.[1]
Ni mji wenye safari nyingi za watalii na wenyeji. Vivutio vya Mbweni, bustani za maua na magofu ya karine ya 19 ya Wakristu.
Rejea pia
Marejeo
- Finke, J. (2006) The Rough Guide to Zanzibar (2nd edition). New York: Rough Guides