[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Alfred Bertram Guthrie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 23:48, 10 Desemba 2009 na TXiKiBoT (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: la:Alfredus Bertram Guthrie)

Alfred Bertram Guthrie (13 Januari, 190126 Aprili, 1991) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1950, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake The Way West ("Njia Kwenda Magharibi").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Bertram Guthrie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.