Fake Pastors : Tofauti kati ya masahihisho
typo |
Kiungo |
||
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
| ikafuatiwa_na = |
| ikafuatiwa_na = |
||
}} |
}} |
||
''''{{PAGENAME}}''' ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini [[Tanzania]]. Ndani yake anakuja [[Adam Kuambiana]] (Petro), [[Vicent Kigosi]] (Ray), Jokette Mwegelo (Jach), [[Lisa Jensen]] (Lisa), na [[Blandina Changula|Blandina Chagula]]. Filamu imeongozwa na [[Gervas Kasiga]] na kutayarishwa na [[Eric Shigongo]] na Kigosi. Filamu inahusu wachungaji wawili wanaotumia shida za waumini wao kama sehemu ya mtaji wa kuwataka aidha kimapenzi au kifedha. Filamu inaonesha tabia za baadhi ya wachungaji bandia waliokithili katika ulimwengu wetu. Kuambiana ameonesha uwezo wa hali ya juu katika filamu hii. Tangu hapa kajitengenezea baadaye yenye nuru na kutambulika katika ulimwengu wa [[filamu za Tanzania]]. <ref>[http://www.bongocinema.com/movies/view/fake-pastors {{BASEPAGENAME}}] katika [[Bongo Cinema.com]]</ref> |
''''{{PAGENAME}}''' ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini [[Tanzania]]. Ndani yake anakuja [[Adam Kuambiana]] (Petro), [[Vicent Kigosi]] (Ray), Jokette Mwegelo (Jach), [[Lisa Jensen]] (Lisa), na [[Blandina Changula|Blandina Chagula]]. Filamu imeongozwa na [[Gervas Kasiga]] na kutayarishwa na [[Eric Shigongo]] na Kigosi. Filamu inahusu wachungaji wawili wanaotumia shida za waumini wao kama sehemu ya mtaji wa kuwataka aidha kimapenzi au kifedha. Filamu inaonesha tabia za baadhi ya wachungaji bandia waliokithili katika ulimwengu wetu. Kuambiana ameonesha uwezo wa hali ya juu katika filamu hii. Tangu hapa kajitengenezea baadaye yenye nuru na kutambulika katika ulimwengu wa [[filamu za Tanzania]]. <ref>[http://www.bongocinema.com/movies/view/fake-pastors {{BASEPAGENAME}}] katika [[Bongo Cinema.com]]</ref> Filamu imetengenezwa na [[Doroth Kipeja]] na kampuni yake ya Tripod Media. |
||
==Hadithi== |
==Hadithi== |
||
Filami inaanza na vijana wawili watanashati Patrick (Vicent Kigosi) na Petro (Adam Kuambiana) waliohitumu [[Chuo Kikuu cha Mzumbe]], [[Morogoro]]. Akilini mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na shahada masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao. |
Filami inaanza na vijana wawili watanashati Patrick (Vicent Kigosi) na Petro (Adam Kuambiana) waliohitumu [[Chuo Kikuu cha Mzumbe]], [[Morogoro]]. Akilini mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na shahada masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao. |
Pitio la 09:54, 18 Septemba 2017
Fake Pastors | |
---|---|
Posta ya Fake Pastors | |
Imeongozwa na | Gervas Kasiga |
Imetayarishwa na | Eric Shigongo |
Imetungwa na | Eric Shigongo |
Nyota | Adam Kuambiana Vicent Kigosi Jokette Mwegelo Lisa Jensen Blandina Changula Emmanuel Myamba |
Imetolewa tar. | 3 Aprili, 2007 |
Ina muda wa dk. | 120 |
Nchi | Tanzania |
Lugha | Kiswahili |
'Fake Pastors ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2007 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Adam Kuambiana (Petro), Vicent Kigosi (Ray), Jokette Mwegelo (Jach), Lisa Jensen (Lisa), na Blandina Chagula. Filamu imeongozwa na Gervas Kasiga na kutayarishwa na Eric Shigongo na Kigosi. Filamu inahusu wachungaji wawili wanaotumia shida za waumini wao kama sehemu ya mtaji wa kuwataka aidha kimapenzi au kifedha. Filamu inaonesha tabia za baadhi ya wachungaji bandia waliokithili katika ulimwengu wetu. Kuambiana ameonesha uwezo wa hali ya juu katika filamu hii. Tangu hapa kajitengenezea baadaye yenye nuru na kutambulika katika ulimwengu wa filamu za Tanzania. [1] Filamu imetengenezwa na Doroth Kipeja na kampuni yake ya Tripod Media.
Hadithi
Filami inaanza na vijana wawili watanashati Patrick (Vicent Kigosi) na Petro (Adam Kuambiana) waliohitumu Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro. Akilini mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na shahada masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.
Baada ya kutembea katika ofisi moja hadi nyingine wakitafuta kazi bila mafanikio, hatimaye wanagundua kuanzisha kanisa ndio suluhisho pekee walilobakiza hivyo wanaamua kuwa wachungaji wa bandia (Fake Pastors). Dhima ya kuanzisha kanisa ilikuwa ni kujitajirisha badala ya kumtumikia Mungu, kazi yao inakuwa ni kuwakamua waumini fedha na mali walizonazo.
Kwakufanya hivyo wanajikusanyia utajiri mkubwa hasa baada ya misada kuanzia kuingia kutoka nje kwa wahisani, baadala ya kufanya kazi ya Mungu wao wanazitumia fedha hizo katika anasa wakilewa pombe na knunua machangudoa usiku na ifikapo asubuhi wahubiri injili kama kawaida na kuwafanya wamini wazidi kuwaumini. Baadaye walijiingiza katika biashara haramu dawa za kulevya ndipo hapo bahati yao ilipoenda kombo, nakuanguka vibaya katika hila zao.
Washiriki
Marejeo
- ↑ Fake Pastors katika Bongo Cinema.com