[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Kingbee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:30, 2 Juni 2023 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.4)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kingbee ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyozungumzwa na Wangbee. Hakuna wasemaji wa Kingbee tena kwa hiyo lugha hiyo imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingbee iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingbee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.