[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Kisidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sidi pia hujulika kama Habsi (Kihabeshi), ni lugha ya kibantu iliyotoka nchini India, chimbuko lake likiwa ni Kiswahili. Ili ripotiwa kuwa Wasidi bado wanazungumza lugha iyo katikati karne ya 20 huko Kathiawari, Gujarati.[1]

Marejeo

  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Sidi_language#cite_note-2