Kizimkazi
Mandhari
Kizimkazi pia hujulikana kama Kizimkazi Mtendeni ni kijiji cha Wavuvi kilicho kuwa na uzio kusini mwa pwani ya zanzibari, Tanzania. Uko maili tatu kusini-mashariki mwa Msikiti wa Kizimkazi (unaopatikana Kizimkazi, Dimbani ambao ujulikana kama Dimbani).[1] Miaka ya hivi karibuni, Kizimkazi imekuwa kivutio kikubwa cha watalii, kwani ziara za kila siku za boti hupangwa ili kuwaleta wageni ufukweni kutazama pomboo na kuogelea nao.