[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Prisko wa Capua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:40, 31 Agosti 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Prisko wa Capua''' (alifariki Capua, Campania, Italia, karne ya 3 au ya 4) alifia imani ya Kikristo<ref>http:...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Prisko wa Capua (alifariki Capua, Campania, Italia, karne ya 3 au ya 4) alifia imani ya Kikristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.