[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Toronto Raptors

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:15, 18 Machi 2010 na D'ohBot (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: lv:Toronto "Raptors")

Toronto Raptors ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Toronto, Ontario. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Chris Bosh.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Toronto Raptors kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.