[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Uaminifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:19, 22 Januari 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Katika [[Biblia, Hosea ni kielelezo cha uaminifu wa mume kwa mke wake. Mchoro mdogo wa mwaka 1340 hivi katika Klosterneuburger Evangelienwerk, fol. 7v.]] '''Uaminifu''' (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: faithfulness) ni tabia njema ya mtu inayomfanya akubalike kwa wengine hata wakampatia dhamana ya pesa au mamlaka fula...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Katika Biblia, Hosea ni kielelezo cha uaminifu wa mume kwa mke wake. Mchoro mdogo wa mwaka 1340 hivi katika Klosterneuburger Evangelienwerk, fol. 7v.

Uaminifu (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: faithfulness) ni tabia njema ya mtu inayomfanya akubalike kwa wengine hata wakampatia dhamana ya pesa au mamlaka fulani.

Kwa kawaida unapatikana kwa kuishi sawasawa na maadili ya Mungu, dini au jamii; kwa mfano sheria na taratibu za asasi, kampuni au serikali.