[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Mto Baviaanskloof

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Baviaanskloof

Mto Baviaanskloof unatiririsha maji kutoka katika milima ya ukanda wa kunjamano wa rasi kuelekea majimbo yaliyopo mashariki mwa Afrika Kusini.

Chanzo cha mto huu kipo mashariki mwa Little Karoo, na unapitisha maji yake katika bonde lililopo katikati ya milima upande wa mashariki. Maji yake yanaishia katika makutano ya mto Kouga,  kilometa 80 kutoka kwenye chanzo.

Mto umepakana na milima ya Baviaanskloof upande wa kaskazini na milima ya Kouga upande wa kusini, na unapokea maji kutoka vyanzo vidogovidogo vilivyopo pande zote. Kado mwa mto kuna makazi ya kilimo yaitwayo Studtis na Sandvlakte. Bonde lipo kama umbali wa kilometa 35 upande wa kaskazini mwa Langkloof.

Mto Kouga, unaoanzia Langkloof ambapo mto Baviaaskloof ndiyo chanzo chake kikubwa cha maji. Mto Baviaanskloof ni sehemu ya Fish to Tsitsikama Water Management Area.[1]

Maana ya neno Baviaan, ni tumbili, lililotokana na jina la asili la mto kwa lugha ya Khoikhoi, na i Ncwama, lenye maana ya neno tumbili. Baadaye Beutler aliuita mto huo  Gomee au Baviaans.[2][3] Robert Jacob Gordon|Robert Gordon aliuita mto huo Prehns , kwa kumuenzi kamanda  wa Rasi ya garrison.[2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Fish to Tsitsikama WMA 15". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-30. Iliwekwa mnamo 2019-10-05.
  2. 2.0 2.1 du Plessis, E.J. (1973). Suid-Afrikaanse berg- en riviername. Tafelberg-uitgewers, Cape Town. uk. 201. ISBN 0-624-00273-X.
  3. Arbousset, T.; F. Daumas (1968). Narrative of an Exploratory Tour ... Colony of the Cape of Good Hope. C. Struik. uk. 36.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Baviaanskloof kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.