[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Ursichini wa Koira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ursichini wa Koira, O.S.B. (alifariki Disentis, Uswisi, 2 Oktoba 760) alikuwa askofu wa mji huo, katika Uswisi wa leo, miaka 754 - 758.

Kabla na baada yake aliishi kama mmonaki Mbenedikto katika monasteri ya Disentis aliyoijenga upya na kuiongoza [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.santiebeati.it/dettaglio/72635
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.