Uwanja wa ndege wa Ziwa Manyara
Mandhari
Uwanja wa ndege wa Ziwa Manyara English: Lake Manyara Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: LKY – ICAO: HTLM – WMO: 63844 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Hifadhi ya Ziwa Manyara, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
4,150 ft / 1,265 m | ||
Anwani ya kijiografia | 03°22′33″S 35°49′06″E / 3.37583°S 35.81833°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
12/30 | 1,220 | 4 003 | Changarawe |
Uwanja wa ndege wa Ziwa Manyara (IATA: LKY, ICAO: HTLM) ni kiwanja cha ndege kinacho hudumia Hifadhi ya Ziwa Manyara nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |