[go: nahoru, domu]

Nenda kwa yaliyomo

Vifaa saidizi vya usikivu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Madame de Meuron akiwa na tarumpeta ya kusikilia.

Vifaa saidizi vya usikivu ni vifaa mbalimbali vinavyotengenezwa kusaidia wenye shida katika kusikia.

Cha kwanza kiligunduliwa karne ya 17. Harakati za kupata vifaa saidi vya usikivu ulianza kwa ugunduzi wa simu ya mezani na kifaa cha kwanza cha kielektoniki cha usaidizi wa usikivu kilitengenezwa mwaka 1898. Mwishoni mwa karne ya 20 vifaa vya usikivu vya kidijitali vilisambazwa kwa kuuzwa kwa umma. baadhi ya vifaa hivi vilikuwa ni vifaa vya usikivu vya nje. vifaa saidizi vya usikivu vya nje hupeleka moja kwa moja katika sehemu ya sikio la nje na kuzuia kelele zingine. Kifaa kinawekwa ndani ya sikio au nyuma ya sikio.

Kugunduliwa kwa vipaza sauti vya kaboni, visambaza sauti, chipu za kuchakata mawimbi ya ya kidijitali au kichakata cha mawimbi ya ya kidijitali DSP, pamoja na maendeleo ya teknolojia ya kompyuta imesaidia kupelekea matokeo ya upatikanaji wa vifaaa saidizi vya usikivu vya sasa.[1]

  1. Howard, Alexander. "Hearing Aids: Smaller and Smarter", New York Times, November 26, 1998.