28 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1492 - Kristoforo Kolumbus anafika Kuba.
Waliozaliwa
- 1946 - Anthony Banzi, askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga, Tanzania
Waliofariki
- 312 - Maxentius, Kaisari wa Dola la Roma
- 1704 - John Locke (mwanafalsafa Mwingereza)
- 1914 - R.L.M. Synge (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
- 1921 - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
- 1952 - Billy Hughes (Waziri Mkuu wa Australia)
- 2005 - Richard Smalley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996)